Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,459
- 4,748
na ukikata kiuno kama panga boy wanasema unamwibia ,ukichangamkia tenda wanasema malaya huyu kakubuhu lolHahahaaaaa! Ukionesha ujuzi tabu, usipoonesha ujuzi tabu!!!!! Ukikatika sana unamuaibisha, ukijibweteka Gogo tena la mchongoma lisilobebeka! Mfanyiwe nini mridhike enyi viumbe!