Wanawake hawajishughulishi kumsaidia mumewe kuwika..

Hii napata tabu kidogo kuikubali jumla jumla! Sasa kama mwanamke uelewa wake ni mkubwa, anataka akufundishe nawe uelewe lakini ndio unasema eti anaonyesha utundu mno, sasa yeye mwanamke ina maana asiinjoy akufanyie maigizo tu ili uupate huo ushindi unaoutaka?

Ninachokiona hapa kuna conflict kati ya "mwanamke kuhitajika kuonyesha ujuzi" na "mwanaume kuibuka mshindi". Kila la heri!

Wale wanawake wenzangu wanaofikiri kwamba kuzungusha kiuno ndio dawa ya kutoachwa nawapa pole maana watashangaa sana! Watakata hivyo viuno na wataachwa sana tu. Wewe bidada kata kiuno kwa raha zako ukiwa na lengo la kuenjoy tendo na wewe, sio eti nataka kumfurahisha mume! Fanya kila uwezalo ili uenjoy na wewe, sio kwa woga wa kuachwa au kumkamata vzr mume! Kuna hadi classes za kufundisha kukata viuno siku hizi, kila atakaye aweza jifunza, so sio wewe tu unaweza kukikata!!!

Halafu mkimsikiliza huyu anayesema eti kuna mashindano, na mme ndio anapaswa kushinda mtachacha, cha kujikosesha raha? Jipe raha uwezavyo, kama mme hauwezi muziki atajifunza au achape lapa!
 
i guess women are responsible for all the problems in the universe!
 
tupe uzoefu wako, wewe unafanya hilo?
 
Hahahaaaaa! Ukionesha ujuzi tabu, usipoonesha ujuzi tabu!!!!! Ukikatika sana unamuaibisha, ukijibweteka Gogo tena la mchongoma lisilobebeka! Mfanyiwe nini mridhike enyi viumbe!

Mautundu wadada ongezeni tuu na itakuwa dawa ya kuwasaidia kwa kiasi flani kufikishwa kileleni na kuweni wawazi sehemu muhimu maana si wanaume wote wanazijua
 
JE HII INAWEZA KUWA SABABU YA KUMFANYA MWANAUME AKAKOSA NGUVU YA KIUME???

Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume ‘kuwika’, si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake.

Pamoja na wengi kutokuwa wajuzi, lakini wapo wengine ambao ni watundu mno kwenye sita kwa sita kiasi cha kumfanya mwanaume ajione kama mgeni wa mchezo huo.

Kimtazamo, wanaume hupenda sana ushindi wakati wa ‘kazi’, lakini pale wanapogeuzwa ‘chekechea’ hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka mawazoni mwao, hivyo kuwasababishia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Inashauriwa kwamba, mwanamke anapokuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya mapenzi hasa wakati wa tendo, asioneshe kiwango kikubwa kwa haraka bali amchukulie mwenzake kama mwanafunzi, asiwe na maneno kama: “Leo nakuja kukupa vitu adimu kuliko vya juzi, hakuna kulala kasi mtindo mmoja.” Kauli hizi huwaogopesha wanaume na kuwafanya wapungukiwe na nguvu.

NIMECOPY AND PASTE FROM FB.
Hapa inaonekana Arushaone kakugusa na ile thread yake alioitoa chit chat
 
JE HII INAWEZA KUWA SABABU YA KUMFANYA MWANAUME AKAKOSA NGUVU YA KIUME???

Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume ‘kuwika’, si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake.

Pamoja na wengi kutokuwa wajuzi, lakini wapo wengine ambao ni watundu mno kwenye sita kwa sita kiasi cha kumfanya mwanaume ajione kama mgeni wa mchezo huo.

Kimtazamo, wanaume hupenda sana ushindi wakati wa ‘kazi’,
lakini pale wanapogeuzwa ‘chekechea’ hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka mawazoni mwao, hivyo kuwasababishia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Inashauriwa kwamba, mwanamke anapokuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya mapenzi hasa wakati wa tendo, asioneshe kiwango kikubwa kwa haraka bali amchukulie mwenzake kama mwanafunzi, asiwe na maneno kama: “Leo nakuja kukupa vitu adimu kuliko vya juzi, hakuna kulala kasi mtindo mmoja.” Kauli hizi huwaogopesha wanaume na kuwafanya wapungukiwe na nguvu.

NIMECOPY AND PASTE FROM FB.

Jamii01 hapo kwenye blue nakukatalia kabisa
 
Hahahaaaaa! Ukionesha ujuzi tabu, usipoonesha ujuzi tabu!!!!! Ukikatika sana unamuaibisha, ukijibweteka Gogo tena la mchongoma lisilobebeka! Mfanyiwe nini mridhike enyi viumbe!

Lara1 achana naye huyo mzushi. Msaada pekee anaohitaji mwanaume wa kweli ili dushelele lake liinuke ni mtani wa jadi kupita mbele yake akiwa na nguo chache kadiri inavyowezekana zinazoonesha baadhi ya maungo yake. Ukikutana na anayehitaji msaada wa ziada ili jogoo awike jua kuna tatizo la msingi.
 
Ha ha ha! Hiyo biashara sifanyi, kama haisimami peleka kwingine sio kwangu. Nataka akiniona na kanga moko tu kitu kinainuka!

Ha haaa,yap ndo manaake....ss mtu mpaka ustuliwe ndo mambo gani
 
Hapa
Nimegundua watoto wako wengi sana.
 
La kwanza hadi la tatu navuka mwenyewe bila ya matatizo yoyote ila la nne na kuendelea huwa ananishika mkono ananivusha barabara.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom