Wanawake hawaeleweki, Ukiwaelewa, utapendwa at First Sight

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,036
71,261
Sura zetu ngumu, kutokua na Pesa , hakutakiwi kutupotezee Nafasi ya uchaguzi. Bad boys, Alpha Male

Leo natumia Uzi wa Joanah kama Marejeo wenye usemao Love at first sigh. Bidada Kwa kituo ,anakutana na Muhuni , muhuni anamuangalia , Bidada analoana huko chini, Saizi wanamwaka ni wapenzi.

Kwani jamaa aliweka Maburungutu ya Fedha kwa Shati? Au Alikua na Bandiko kichwan linalomwonyesha ni MTU wa Hadhi yaan ana Mali? Hapana

Sasa twende pamoja, nanukuu

Joanah anasema "

"Siku nafika pale nikamuona mkaka mmoja amazing,sijui kwanini alikuwa ananiangalia vizuri namna ile"

"Sijawahi kuwa mdau wa ngono lakini tangu nikutane naye nataka kila muda tuwe peke yetu chumbani"

LEO KIKUBWA NITAANDIKA MAMBO MAKUBWA MAWILI....mengineyo ni Nyongeza !!!

Nataka Mjue akili ya mwanamke inavyofanya kazi.... Ukishawajulia uitumie vizuri maana unaweza kujaza BUS.!!.

- Mvuto kupitia Subconscious

Mara nyingi sana Wanaume wengi pale unapomwona mwanamke ulovutiwa naye , wanakimbilia kuanzisha rapport na maneno mengi..... Kiuhalisia hili Kwa kiasi Fulani ni Kosa ... Kwann?? Kwa sababu Rapport ni non verbal ,ni suala la ambalo linategemea Subconscious .

naweza nisieleweke , ila ukweli ni kwamba KWA WANAWAKE, KILE UNACHOWASILIANA NAO SUBCONSCIOUSLY kina matter sana kuliko kile unachokisema ... Nandio maana Mwanamke hata kabla hujafunua Kichwa chako, tayari yeye keshaamua kua (anakupenda au hakupendi)

Unachotakiwa Kufanya nini? Nikuhakikisha kwanza , una bypass Ufaham wake ( consciousness) and this is because woman will Reject you Consciously and Rationally..... Yaan linapokuja suala la Mwanamke kukukatalia, SIKU ZOTE HUTUMIA UFAHAMU WAKE ,ndio maana atakuja na jibu lakukuambia.

LAKINI MAJABU NIKWAMBA, HUYOHUYO MWANAMKE , ATAFALL IN LOVE KWAKO BILA SABABU YAAN ATAJIKUTA TU KAFALL.

Sasa hili umpate, chakwanza nikuhakikisha unamfanya asitumie upande wa UFAHAM KAMILI , nawewe ucheze na Subconscious mind yake na kwakufanya ivo, unamlazimisha apoteze uwezo wake wa Kuhoji, kujiuliza, kufanya maamuzi !!!.

Nakurudisha Kwa Joanah, ... 1//Jamaa alimuangaliaa Manzi, mpaka Manzi akahisi Jamaa anampenda , Manzi akajikuta keshajipa UPENDO ... Yaan "itakua kanipenda ndio maana ananiangalia vizuri hivi"......

SIMPOOO.... utake ukubali ...huo ndo ukweli, sasa hiko kitendo cha Jamaa kumuangalia Manzi ndio nakiita MAWASILIANO KUPITIA SUBCONSCIOUS , kitendo hiki kinamlazimisha anayekutizama AVUTIWE NAWEWE..

Nawapa mbinu ndogo ya Kuwasiliana na Demu subconsciously,.... Umekutana na Mwanamke kama nisehem amekaa, wee ukimsogelea kabla hujaongea peleka macho yako moja Kwa moja kwenye " Matiti yake " fanya kama unaangalia anavyopumua ...... tumia sekunde kadhaaa tuu , kila hakikisha kakuona na kajua ulikua unaangalia hiko....... kisha mitongozo Kwa njia ileile ya Kucheza na HISIA +SUBCONSCIOUS

Sexual Tension ........

Hapa ndipo penye maajabu ... simnaonaga kila siku nawaambia ,wanawake wanapenda Ngono sana kuliko mwanaume.... Kwamba ukiwa unamtongoza mwanamke hakikisha mtongozo wako unamuamsha HISIA za NGONO????.

Sasa Leo nalikazia hilo , Sisi wanaume huwa tunamuona mwanamke kua anamvuto Kupitia. Mwonekane wake sio??. na swali pekee ni "Huyu anafaa kabisa ......... wanawake nao niivoivo, Once anapokuona wee , mvuto wake wa kwanza nikupitia kukutizama alafu anawazia kwanza Watoto anaoweza kuzaa nawewe ikiwa atakukubalia.....HILI SIO LA MSINGI SANA ,MAANA MWANAMKE BADO ANAWEZA TEMBEA NA JAMAA ANASURA MBOVU !!!!...

Kwahiyo hapo inakua ni nusu Kwa nusu kupitia Mwonekano, Ila huyo Jamaa Mwenye sura mbaya, alipataje demu Mkali??? Jamaa ni Alpha male .... mjanja Sanaaa, nilazima Ujue kucheza na Subconscious plus Emotions za mwanamke !!!....

Ndioooo, niliwah andika humu, MWANAMKE HANA CONTROL YA WAPI AU NANI AFALL NAYE KWA PENZI, HAMNAAAAA, HAMNA NDUGU ZANGU, HAMNAAAlllll
Mwanaume yoyote atakayefanikiwa kucheza na Subconscious + Emotions , Atamchukua tu.

Namnukuu tena

...." sijawahi kua Mdau wa Ngono ila tangu nikutane naye najikuta nataka kila muda niwe naye chumbani "
Kwenye ule uzi Manzi anakiri kua kila kitu mwilin kimemuelewaaa..... Kwamba anajikuta anataka Paipu.........

Mnadhani ilo alilifanyia uamuzi baada ya kuwa wapenzi??
Hapanaaa..... ILE ILE SIKU ALIVYOGONGANISHA MACHO NAJAMAA , NDIPO MWILI WAKE ULIKUFA KWA JAMAA.........NA NAWAAMBIA, HATA KAMA JAMAA ANGEKUA NI MUME WAMTU, MANZI ANGETAMAN ANGALAU APEWE PAIPU KIMASIHARA....

KWANN ? KWA SABABU JAMAA ANA SEXUAL TENSION .....

UKIWA NA SEXUAL TENSION, NA UKAJIJUA , LAZIMA UTAKUA IRRESISTIBLE KWA JINSIA YA KIKE na Ukishakua Irresistible, unakua na OPTIONS KIBAOOOOO

Sikia hamna kitu unaweza Fanya kwa mwanamke , Kama atagundua uko na VERY LOW SEXUAL TENSION,, yaaan siku zote utapigwa cha mbavuuu tu
Sasa SEXUAL TENSION UNAIPATAJE ??? HIII INAKUJA KUPITIA SEXUAL VALUE..
Yaan ni ivi, Ukiwa Mwenye Sexual Value kubwa wanawake watakukimbiliaa wenyewe...,ukiwa mwenye value Ndogo, utawakimbilia weee...

So kwanza ni kua na Sexual Value Sexual Tension Irresistible Fucck them !!!....

Nyongeza ..... Kama ambavyo mwanaume wanaogopa kutongoza, wanawake pia wanaogopa kua na wanaume waongo....

Ivo wanawake kabla hawajaamua kuzama kwako, wanataka wawe nauhakika wa MTU. MTU atakayempenda, Kumjali na kumuheshimuu.......

Nakwakua asilimia kubwa ya Wanawake wamewahi kuumizwa Mapenzini, SIKU ZOTE HIJITAHIDI KUTUMIA CONSCIOUS MIND ..........

Hii inamaana gani?? Ukikutana na Mwanamke yoyote, assume kwamba ALIWAHI KUUMIZWA.

BAADA YA HAPO
M'manipulate kupitia Subconscious .... Usijaribu kum persuade akuelewe ...
Deal na Emotions zake .... Usimpe nafasi ya Kutumia Akili.
Tumia Flaws zake ....... udhaifu.... yaan ukishajua udhaifu wake, wee utumie Kwa faida yako....
KEEP YOUR WOMAN, KWA KUHAKIKISHA UNAMFANYA AWE MTUMWA WA KIHISIA KWAKO YAAN AAMINI MAISHA YAKE BILA WEWE, NI MZIGO, KWAMBA WEE NDIO FURAHA YAKE !!!!!HAYA SIO MATESO, ILA NDIO NJIA PEKEE AMBAYO MWANAMKE ALIUMBIWA KUWEZA KITOHOA FURAHA KUTOKA KWAYO...Zaidi soma hapa


USITUMIE NGUVU KUBWA AU PESA KUMFANYA MWANAMKE AKUTAKE !!!

MSIENDE KUA MALAYA !!!
MSIYATUMIE KWA WASCHANA WA MIAKA 18-24 ,HAWA NI WATOTO.
 
Juzi kuna mwamba alileta ushuhuda hapa kuwa alitumia mbinu yako moja ya kutumia maneno makali ili kumnasa demu. Sasa yeye kaenda kujaribu huko kwa demu anaitwa Lizzy akaishia kuibua WW3....

Leo umeenda deep sana japo sina uhakika kama haya mambo ya subconscious mind yataeleweka kirahisi namna hiyo. Ngoja tukae tujifunze...
 
Afu na wewe muda si mrefu nakuanzishia sredi. Mahari umekula mwenyewe babu sikupewa mgao...
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Mama anasema kuna tuhela fulani ivi katupata mahali...

Atajenga Madarasa
Mama hatabiriki. Leo kamkamata mchina ananyonya maji lita milioni moja kwa saa. Mchina anataka sisi wa Masaki tusiogelee kwenye ma- swimming pool yetu?

Mchina gaidi...

Mbowe sio gaidi

Sabaya aachiwe huru..

Makonda ashtakiwe...

Makamba kaleta Mgao...

Katiba Mpya...


Hii nchi ina mambo mengi kuliko Biblia
 
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Kesho nakufuata PM au unitafute kabla sujawasiliana na mawakili wangu.

Chaguo ni lako

Siisii: Bibi
 
Back
Top Bottom