Huo ni msemo tu, haimaanishi asipotongozwa mwanamke havai chupi mzeeBinafsi kuna mahitaji ya msingi Binti anatakiwa amalizane nayo sio kumtegemea mwanaume!
Kabisa!Mahitaji ya chakula, kulala vocha inabidi ujipambanie kwanza angalau inavutia
Mimi kodi ntakuomba tu, labda vingine ndionsiwezi hata kukuomba sijui kusuka sijui chqkula ila kodi sjui mtaji nakuomba vizuri, na hata ukininyima silali nje bado..Ikiwa mwanaume sasa karidhia nita clear bill ya chakula ama kodi fresh maake hujamuomba mapenzi yake kwako kaamua kufanya hayo
Ila issue za halo beby nisaidie Kodi 🤔🤔 sjui sijala siku ya pili 🥺aaaah kukatana stimu mamnyong'ode
Hahhah hutaki mazoea🤣Mwanamke akiweza kujitimizia hayo hapo juu hata akiingia kwenye relationship anaingia akiwa anajua si toi tuu sex na sinto abudu mtu juu ya kitu fulani bali ni upendo tuu ama daraja limepita wacha nivuke nalo
Nimekaa sehemu nina fundo mdomoni la lite ooh bint mmoja mambo, mzima, unaendeleaje mm namcheki tuu hata sijameza dada keshaongea maneno na huku anaachia tabasamu kwa mbali ikabidi niangalie friji 😅😅
Babu umevuruga mpaka hujaquote, andaa meza nakuja😁Basi tufanye hayo maji😅😅
Ni huu uzee, pension imechelewa kuingia mwezi huu nimevurugwa sana mjukuu😅Babu umevuruga mpaka hujaquote, andaa meza nakuja😁
Kodi sawa ila sio frequently, hata mtaji ama connection something which sounds perfectHuo ni msemo tu, haimaanishi asipotongozwa mwanamke havai chupi mzee
Kabisa!
Mimi kodi ntakuomba tu, labda vingine ndionsiwezi hata kukuomba sijui kusuka sijui chqkula ila kodi sjui mtaji nakuomba vizuri, na hata ukininyima silali nje bado..
Hahhah hutaki mazoea🤣
Usitake kunambia saa 4 hii ushaanza kubugia vitu🙆🏽♀️
Sasa kama pensheni imechelewa unataka nije kufanya nini babu🤯Ni huu uzee, pension imechelewa kuingia mwezi huu nimevurugwa sana mjukuu😅
Hakuna kodi frequent labda kama unakomolewa na huyo mpenziyoKodi sawa ila sio frequently, hata mtaji ama connection something which sounds perfect
Hmm mtafutie hata kibarua cha kutembeza juice aacha ushenzi!sasa mtu mpaka aankuomba hela ya kula ujue kazi hana ama ni ana pata kipato kidg mno!!
Tuzingatie mahitaji ya msingi wasee
Tutaongea tu na kukushika mkono...na ahadi kedekede mjukuu wangu!!Sasa kama pensheni imechelewa unataka nije kufanya nini babu🤯
Nilivyo sipendi ahadi utanifukuza asubuhi sana😂Tutaongea tu na kukushika mkono...na ahadi kedekede mjukuu wangu!!
Hahahaha kwamba nikulipie Kodi mwaka mzima tuseme umeomba twice per year mean ??Hakuna kodi frequent labda kama unakomolewa na huyo mpenziyo
Hmm mtafutie hata kibarua cha kutembeza juice aacha ushenzi!
Sisi tunapenda hela, hatupendi tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenzi nawe kabisa.
Tunapenda hela sasa
Ikiwa ni asubuhi wala sitalalamika, utaondoka na nitakusindikiza mjukuu😅Nilivyo sipendi ahadi utanifukuza asubuhi sana😂
Si ndio nitakuwa nimefika hata sitokaa nakwambiaIkiwa ni asubuhi wala sitalalamika, utaondoka na nitakusindikiza mjukuu😅
Ndomana wako radhi watoeWe ni mkweli,na msema kweli mpenzi wa Mungu
Aaah yani utakuja jioni tutaongea weee hadi kukuche nikusindikize mjukuu!!Si ndio nitakuwa nimefika hata sitokaa nakwmabia
Twende sote na me nimerauka vile vile sielewiNitaanza sunday🙆🏽♀️
Tunakuwa tunaongea nini babu weeAaah yani utakuja jioni tutaongea weee hadi kukuche nikusindikize mjukuu!!
Pole sana! Sawa utanshtua basi mimi ndio sielewi aisee..Twende sote na me nimerauka vile vile sielewi
Kweli umenizidi kidogo shem, pwagu na pwaguziPole sana! Sawa utanshtua basi mimi ndio sielewi aisee..
Kupeleka motoTuwapende kwa sababu ya nini?