Wanawake hapa nimeshindwa kuwasoma

Wanawake hapa nimeshindwa kuwasoma

Home

Senior Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
136
Reaction score
28
Swali kwa wadada
Unakuta unaenda sehemu kukutana na dada, anakugandisha sio chini ya nusu saa, ilihali wakati unatoka mlipanga kabisa muda wa kukutana, na akakubali, na wakati unatoka mpaka kufika unampa update zote na bado ukifika anakuweka kidogo,
Hii imekaaje?

Kuna nini hapa?



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Swali kwa wadada ;
Unakuta unaenda sehem kukutana mdada , anakugandisha sio chin ya nusu saa, ilihali wakat unatoka mlipanga kabisa muda wa kukutana, na akakubali, na wakat unatoka mpka kufika unampa update zote...na bado ukifika anakuweka kidogo,
Hii imekaaje ? Kuna nn hapa?


Sent from my iPhone using JamiiForums

Kujipamba mdear , ahaah! Nafikiri hebu niwaachie wenzangu waseme.
 
mhh ngoja waje na majibu...ila tu nikujipamba na kutaka kuwa na uwakika na wewe kama unashida nae au..mdada kuringa jamani..ila mapozi yasizidi
 
hahhaha kuchomeshwa maindi!!!! mi akichelewa dak 20 tu atakuta nimemsimamisha dame mwingine nachombeza hata sina habaree
 
Hata ukiweza kuwasoma, ukipewa mtihani wao utaishia kufeli tu...
 
Swali kwa wadada
Unakuta unaenda sehemu kukutana na dada, anakugandisha sio chini ya nusu saa, ilihali wakati unatoka mlipanga kabisa muda wa kukutana, na akakubali, na wakati unatoka mpaka kufika unampa update zote na bado ukifika anakuweka kidogo,
Hii imekaaje?

Kuna nini hapa?



Sent from my iPhone using JamiiForums

nilishajizoelea kuchomeshwa mahindi mkuu,hata masaa matatu huwa nakaaga,ila akija nitakavyoipiga kama naua nyoka vile,teke,ngumi,kichwa,kiwiko,kifuti,konzi,nang'ata na meno,nasimama juu yake naruka ruka,nabamiza etc yaani mpaka ilainike......
 
mnakutana mwaenda wap? mana sehem nyngne ukienda lazima ujikoshe haswaa hhhahahah
 
Mkuu Home wasamehe tu, ushamba na kutojiamini kunawaponza.........samahanini lakini
 
Last edited by a moderator:
Swali kwa wadada
Unakuta unaenda sehemu kukutana na dada, anakugandisha sio chini ya
nusu saa, ilihali wakati unatoka mlipanga kabisa muda wa kukutana, na
akakubali, na wakati unatoka mpaka kufika unampa update zote na bado
ukifika anakuweka kidogo,
Hii imekaaje?

Kuna nini hapa?



Sent from my iPhone using JamiiForums

ni ukweli usiopingika kuwa mwanamke hujiandaa masaa mawili so wew kama unataka kumfata sa kumi mwambie sa nane hapo atakuwa sambamba na ratiba yako
 
Back
Top Bottom