Wanawake hapa nimeshindwa kuwasoma

Wanawake hapa nimeshindwa kuwasoma

Anyway, kuja alikuja na mambo yalienda poa,... Ila mkae mkijua Kuwa mnatuboa kutuweka sehem wakat unajua time na ratiba.....
Shukran kwa waliochangia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wanaume huwa ndio wanafikiria hivyo dear lakini kiukweli sio kweli. Wanawake tunapenda kweli kumake sure everything is perfect. Thanks .
Haya mmeeleweka ila basi jaribun kupunguza time kidogo , maana sometimes Huwa hatuelewi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asa anataka tuwe tunachomoka mbio afu ufu badae wanaleta Uzi hapa hahaha

Ha ha ha ha ha , utakuwa utoto huo,
Nashukuru Leo nimejua the reason ahead , so no harm.... Inaeleweka ni rahisi kuikubal

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mnakutana mwaenda wap? mana sehem nyngne ukienda lazima ujikoshe haswaa hhhahahah

Nyie siwawez, inabid niwaelewe tu kwa Hilo...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nilishajizoelea kuchomeshwa mahindi mkuu,hata masaa matatu huwa nakaaga,ila akija nitakavyoipiga kama naua nyoka vile,teke,ngumi,kichwa,kiwiko,kifuti,konzi,nang'ata na meno,nasimama juu yake naruka ruka,nabamiza etc yaani mpaka ilainike......

Kaka kitoromoni, umetisha sana ,
Ila inategemea , unaweza kukuta ushirikiano F, itakuwa Mbinde kufanya hayo...
Or nyingine worth waiting for, package imejaa vizur,

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nIMEIPENDA SANA HII

hata nikikuta ushirikiano f napiga hivyo hivyo,makofi,nang'ata meno etc itajuta kuchelewa coz inajiongezea hasira tu
 
inategemea ni wapi, kama ni baa lazima achelewe maana c unajua akiwahi mhudumu akija anataka hela kwanza ndo akalete kinywaj, so lazm kujivuta ATM itangulie
 
Mkuu learn to give time to women.... they have a lot of women staffs to do! kujipamba na kadharika so hata usilaum
 
Back
Top Bottom