Serikali Ni ya Ukawa (chadema) na mh. Lowassa ndiye rais wa JMT. Hao CCM Wanapoteza muda tu, Watanzania
Waishaamua Ni Lowassa 2015.
Nyomi za kampeni tuziweke pembeni na mbali, kwani haziwakilishi uhakisia wa ushindi. Kama wewe ni mtu makini, tazama umri wa watu wanaohudhuria mikutano hiyo na matendo yao. Hiyo itakupa picha halisi ya nani ni mpiga kura wa kweli. Mikutano ya kampeni iliyojaa ushabiki ni vurumai na uhuni mtupu ya watoto wa mjini, watu wenye hekima na busara hawahudhurii.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Nyomi za kampeni tuziweke pembeni na mbali, kwani haziwakilishi uhakisia wa ushindi.
Mama tikisa kila kona watakutambuaje hao.
Mawazo ya kindergarten hivyo kanywe cerelac kidogo iliyobakia nitakununulia ingine kesho. Usisahau kuosha mdomo inzi wasikufuate mwanangu. Haya usiku mwema usisahau kukojoa kabla ya kulala. Sisi hapa kazi tu hadi kukuche.
Safi saana. Wanawake wenzake wanalia machozi kuona jinsi ambavyo mwanamama mwenzao ameamua kuwahadaa tena. Wamekumbuka ahadi za ccm kuwa hazitekelezekiiiii
Unafikiri ndiyo lowasa anatumia mapepo, fotoshop, kuhonga watu hela wazomee, kutembea na watu toka arusha, mnadhani sisi hatujui mbinu zenu? CCM lazima ishinde, taifa haliwezi kukabiziwa kwa mwizi, jambazi, na fisadiUsanii mtupu labda walikuwa wamepewa hela wakalie kwenye mkutano! Unaenda kumlilia fisi akupe nyama wakati akiwa na njaa? Anachokifanya ni kukudanganya tu ili uingie kwenye anga zake akufaidi kama kitoweo!
Kimbiza mama, wewe ndiye haswa mwenye nchi.
maelfu ya wananchi wakiwemo wanawake wamejikuta wakitoa machozi wakati wa mapokezi ya mama samia.hata hivo mama samia amewaahidi kuwa serikali yake itaweka mkazo katika kuboresha huduma za maji na afya mkoani geita ili kupunguza adha za wanawake.
maelfu ya wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya ccm, mama samia suluhu hassan alipohutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la geita mjini mkoani geita leo
Hapa NI KAZI TU
Huyu hawezi kufikia hata robo ya mkutano wa firstlady ReginaMungu mbariki Mama yetu Samia.