Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Hapa hapa jukwaani, kuna swaga lazima utumie kuomba unlock.

Kama vile unavyomwomba msogee pembeni umwambie jambo kama hapo mlipo kuna watu.

Hii inawezekana kwa wale wenye muda wa kutosha kuwapo hapa Jukwaani.

Kwa wale wasoma Comments ama kuperuzi kama mmi, ni ngumu kidogo.
 
JF inapanuka. Tunapata access mahali pote Duniani.

Kuzipuuza/kubeza ID mpya ni kutoitakia mema JF.

Do not judge too quickly
Mimi napata 25 per day pm yangu inajaaga kama nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…