Inafahamika kuwa linapokuja suala la uimara na ubovu wa ndoa,kufu au kudumu kwa ndoa wanawake mara nyingi ndo wanakua na nguvu sana,sisi wanaume hapa hatuna ubavu.Hivyo basi mwanamke akiwa fake/mjinga nk, na ndoa au mahusiano huwa hivyohivyo.Siku hizi wanawake wengi ni hovyo ndo maana na mahusiano/ndoa nazo ni za hovyo,siku hizi wanawake hawataki majukum ya kike,wanajua ndoa ni kuzaa na kuwatupia watoto ma HG.Hawajui namna ya kumhudumia mume,huduma wanayoijua wao ni ngono tu,hawawezi hata kumshauri mume namna ya kubajeti matumizi ili angalau wapate ka jumba hata ka vyumba viwili,wao wanajua kubana hela ili wakanunue mawigi,skin jeans,vimin nk,kama ni mfanyakazi mshahara unaishia hukohuko na machinga watajazana nyumbani kwako kukudai hela ya rangi za kucha,khanga na upuuzi mwingi tu!Hawa ndo wanawake watakaotusaidia kusonga mbele kimaendeleo kweli?Ama kweli kwa mtindo huu ndoa nyingi zitakua za hovyo ka sababu ya uhovyo wa wanawake wa leo.WANAUME kazi tunayo!

Tausi,niliposema hatuna ubavu ni kwamba,hata kwenye kampuni yoyote GM kuna maeneo hana ubavu nayo,inatakiwa apate maelekezo kutoka kwa wataalam wake japokua yeye ni GM,so Mungu alipogawa majukumu hakumpa mwanaume kila jambo ila yeye ni msimamizi wa jumla tu,lakini kama ilivyo kwa GM anavyohitaji sapot na ushauri kutoka kwa walio chini yake ili kupata maendeleo,vivyo hivyo kwa mume pia!Kuhusu risach uliyouliza siokila jambo linahitaji kufanya utafiti mambo yako wazi kabisa,fungua macho utaona.Pia sikuchagua wa hovyo ila nimewakilisha matatizo ya wanaume wenzangu,jitahidi kusoma ili uelewe vyema!
Inafahamika kuwa linapokuja suala la uimara na ubovu wa ndoa,kufu au kudumu kwa ndoa wanawake mara nyingi ndo wanakua na nguvu sana,sisi wanaume hapa hatuna ubavu.Hivyo basi mwanamke akiwa fake/mjinga nk, na ndoa au mahusiano huwa hivyohivyo.Siku hizi wanawake wengi ni hovyo ndo maana na mahusiano/ndoa nazo ni za hovyo,siku hizi wanawake hawataki majukum ya kike,wanajua ndoa ni kuzaa na kuwatupia watoto ma HG.Hawajui namna ya kumhudumia mume,huduma wanayoijua wao ni ngono tu,hawawezi hata kumshauri mume namna ya kubajeti matumizi ili angalau wapate ka jumba hata ka vyumba viwili,wao wanajua kubana hela ili wakanunue mawigi,skin jeans,vimin nk,kama ni mfanyakazi mshahara unaishia hukohuko na machinga watajazana nyumbani kwako kukudai hela ya rangi za kucha,khanga na upuuzi mwingi tu!Hawa ndo wanawake watakaotusaidia kusonga mbele kimaendeleo kweli?Ama kweli kwa mtindo huu ndoa nyingi zitakua za hovyo ka sababu ya uhovyo wa wanawake wa leo.WANAUME kazi tunayo!
Mnataka kupewa tu! Na nyie mnatoa nini? Love n care is a two way traffic.Duh!Tatizo
Lizzy wanawake wengi ni fake,wanafake mpaka tabia,kwenye uchumba
anajidai anajua sana malengo,kumbe hovyo!Halafu kumbuka kuwa mwanaume
anapochoka mara nyingi anatakiwa atulizwe na apewe maneno ya
kumrejeshea nguvu,haijalishi mwanamke yuko vipi,tatizo linakuja pale
atakapopewa nyoka wakati yeye aliomba samaki!
kama ulianza kumhonga kwenye uchumba kwanini usimhonge kwenye ndoa? Au ndio yale yale mwanamke akishaolewa basi mambo yanahamia kwa mahawara wa nje?
Mkijengeana utaratibu wa ku balance maisha interms of benefits and expenses tangu mwanzo automatically itawezekana kusaidiana katika mambo tofauti.
twende zetu rafiki......................Hapa napita tu...