Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,790
Kaka ako akirogwa una mtukana wifi yako ila wewe uko una roga kaka wa mwenzako ivyo ivyo sasa hapo kelele za nini? Sijawai waelewa mnatoaga wapi hayo mawazo muoshwa uhoshwa
Anakula za jana, zilibaki si unakumbuka alijaza hotpot.Leo hupiki chief?
😆😆Anakula za jana, zilibaki si unakumbuka alijaza hotpot.
Ni ukatiliKila mtu ashinde mechi zake..!!
Mbona umeoaKataa ndoa mkuu...🤣
Ndoa ni jinai mazee...😐
WapiKamsemee kwa babaake
KabisaDunia duara mkuu
Napigania tumbo languImejini uko magereza kisa kuwapigania watu kama hawa
Nisha shibaLeo hupiki chief?
Kuna nini?Kwenye mapenzi Hakuna kulogana!!
Umbea uho 😂😂Anakula za jana, zilibaki si unakumbuka alijaza hotpot.
Leo anawapika dada zake kwa kuwasemaLeo hupiki chief?
Kwa babaakeWapi