Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,124
- 49,503
mie mwenyew nimefikiria huko..imagine unakua na jiran yako mwanaume mwenye vigezo vya ISO..macho ya nyege nyegemie nitahama mtaa..
Niko huko
Kuna jamaa mmoja nilikutana nae kwenye Kidia ya Arusha-Dar,
Nilimzimikia Ila nikakausha,
Mwezi uliopita nimegundua ni jirani yangu, juzi nimekutana nae kibanda cha chips,
Ameniangalia nikaloose control ikabidi nibadili gia angani nikaondoka
Yaani ana macho fulani hivi akikuangalia unalowa, sijui namkwepaje manake nimeokoka Ila shetani ananimendea kwa nguvu