Wanawake chukueni hii

Wanawake chukueni hii

Siku hz pisi kali tunaztengea laki 2,una hakikisha kabla ya kuimaliza hyo laki 2 iwe imeshaliwa

Tatzo huwa linakuja pale unapofanikiwa kuila kwa gharama kubwa na inaendelea kukuganda wakati wewe unataka kuikimbia,ukizembea unakuta inakula mpaka laki 5 kuelekea kwenye million ndan ya muda mfupi
 
Paka mwenye malengo hamli panya mwenye mimba.Ukiona amemla jua ni dharura tu lakini haikuwa lengo lake.Hakuna mwanaume mjanja kichwa kidogo kikifanya uamuzi.Utafuata tu upende usipende.Ukibisha muulize Bill Clinton.Hakuna cha Rais wala kuli. .Akili huwa zinarudi kwenye kichwa kikubwa baada ya tendo.Majuto ni mjukuu.
 
Paka mwenye malengo hamli panya mwenye mimba.Ukiona amemla jua ni dharura tu lakini haikuwa lengo lake.Hakuna mwanaume mjanja kichwa kidogo kikifanya uamuzi.Utafuata tu upende usipendeUkibisha muulize Bill Clinton.Hakuna cha Rais wala kuli..Akili huwa zinarudi kwenye kichwa kikubwa baada ya tendo.Majuto ni mjukuu
 
Sio gays but uhalisia ni kwamba mwanamke hakomeshwi ......ww ndio unacheza nje ya beat
Alie kuambia yupo kwa ajiri ya kukomoa mwanamke nani.....? Mbona wenzio wameelewa nini kinaongelewa.

Mkuu ulijuaje kushika kalam na kuandika.....?
 
Siku hz pisi kali tunaztengea laki 2,una hakikisha kabla ya kuimaliza hyo laki 2 iwe imeshaliwa

Tatzo huwa linakuja pale unapofanikiwa kuila kwa gharama kubwa na inaendelea kukuganda wakati wewe unataka kuikimbia,ukizembea unakuta inakula mpaka laki 5 kuelekea kwenye million ndan ya muda mfupi
Ikikuganda ndio poa unaendelea kuteleza free hadi ikimbie yenyewe.....ila sema muda mwingine huwa zinatia huruma sana
 
Alie kuambia yupo kwa ajiri ya kukomoa mwanamke nani.....? Mbona wenzio wameelewa nini kinaongelewa.

Mkuu ulijuaje kushika kalam na kuandika.....?
Kwanini uwaonee huruma km haikuumi kwani ww ni wakike mpaka uwaonee huruma
 
Paka mwenye malengo hamli panya mwenye mimba.Ukiona amemla jua ni dharura tu lakini haikuwa lengo lake.Hakuna mwanaume mjanja kichwa kidogo kikifanya uamuzi.Utafuata tu upende usipendeUkibisha muulize Bill Clinton.Hakuna cha Rais wala kuli..Akili huwa zinarudi kwenye kichwa kikubwa baada ya tendo.Majuto ni mjukuu
Pointless poem.
 
Ikikuganda ndio poa unaendelea kuteleza free hadi ikimbie yenyewe.....ila sema muda mwingine huwa zinatia huruma sana
Kwenye huruma hapo ndo shida unajikuta unaitoa tena hela

Unakuta kinakutafuta hakichok unakizingua wazwaz kimo tu,gheto kikija kinajituma kwel,mwsho wa siku unaendelea kukitoa mapene na kukitunza
 
Back
Top Bottom