Wanawake chako chake, chake chake. tabia mbaya

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,880
Kuna demu niko nae tangu anasoma chuo kila siku alikuwa ananiomba nauli.. Kamaliza chuo kaanza kazi kila siku ananiomba nauli na lunch nampa elfu 10. Nikajua ataacha akipata mshahara.. Huu mwezi wa tatu sasa kila siku ananiomba nauli.. Huu ni ulemavu au mshahara hautoshi au vipi.. Nasubiri mwezi huu akipata mshahara nakata huduma.. Huu ni wendawazimu sasa au ndo chake chake changu chake?
 
Shtuka mkuu...utakuja kuachwa kwenye mataa hutaamini
 
Nahisi anazingatia kauli ya
Mwanaume ndiye mwenye majukumu ya kumtunza mkewe.

Kama unampenda endelea kumpatia tu, au mweleze umekwama kidogo.

Wanawake, hupenda tukiwa tunawahudumia.
Kaa naye chini uongee naye kuhusu hilo. Ila utumie busara na hekima. Usikurupuke
 
Ndo uanaume huo mkuu

Mwaume majukumu, mwanamke huduma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…