Wanawake bwana??!

Wanawake bwana??!

Crucial Man, na mie nimeona bora kumpa cha kumuumiza aache upuuzi.
Pole sana,wanawake wengi wanatabia hii,the best thing to do ni kumuacha aropoke wee,then unampa makavu,tena ya kumchoma moyo next time anajifunza kusolve disputes amicably.
 
Mimi kuna dada Rafik fb na tunashare kabila sasa kuna siku akanitex that she is so down.kuna ishu imembore kazini.nikambigia tukaongea mpaka nikamrudisha kwa normal mood.the next day usiku akanitext good night,nikamjibu same to you,nikamwambia asante.eeeh!mara simu ikapigwa kwa namba yake.nikapokea OMG! Male voice,eti "huyu uliyekuwa unachart nae amechoka kalala,na tunataka kuenjoy each other kwa sasa,samahani kama ajakwambia yeye ni mke wa mtu" nikamuuliza hiyo ndoa ilifungwa sayari gani? Kama ni earth then sio mke wako sema unazini nae.alafu sikujua kama huyo unaedai ni mke wako is too low to unextend ya kulala na mtu kama wewe unae tumia simu ya hawara yako kunipigia wakati yeye ndio kanianza.nikafuta na namba.the next day akanitumia mail fb (huyo dada) eti am sory unajua Abcd,nikamuambia ucjali enjoy your self with your man madam.kama vp unaweza ukani unfriend au futa namba zangu.sio ustaraabu kabisa.bahati nzuri that day mke wangu mama ojwang alikuwa sebuleni anacheki tamthilia.pangechimbikajee.

kumbe na wanaume wapo?
 
Hao wanawake wanaopenda kukurupuka mie nawatafuta sana sijui kwa nini siwapati! Hivi badala ya kushughulika na mumeo au mpenzio unamtafuta mwingine usiyejua hata anafananaje?wengine mtakuta ni maboss wa waume zenu ndo hapo kibarua kitakapoota nyasi!:flypig:

hahahahah. Purple bwana.
 
Girls talk...
...best mie leo napita tu nasubiri yale mastori yetu...
 
Aisee Swts unge muua kwa pressure dada wa watu!
Daaaah

loya hapo kesi kama izo tunazimaliza ju kwa ju..
Et akaanza oh eti ''dada we ni mwanamke mwenzangu me huyu kaka, nnadet nae miez6 sasa ameplan kunioa,oh plz naomba tumeet..nkamwambia kafie mbele huko,utachezewa utaachwa,na atakudanganya ad ukome,maana mi kila kitu kuhusu wewe nakijua,. So nakushanga!! Yani nahisi alilalia drip za kwinini!!
 
Last edited by a moderator:
Mie bwana, nimejilalia na dogo wangu. Simu inaingia. Namba naifahamu na nimeisevu jina. Ni mwanaume nilikuwa nasoma nae ITA na yeye kikazi yupo TRA HQ. Tangu nimemaliza chuo 2011 mawasiliano na wanafunzi wote yamepungua except mmoja ama wawili, na huyu X si mmoja wao. Nimepokea, anaeongea ni mwanamke. Hamna salamu. Wewe ni nani kwa X? Nikamwambia WTF? Akanijibu kwa ukali, nimekuliza X ni nani wako, manake ameniambia wewe ni nyumba dogo yake. Nikamuuliza woman are you serious. I was very offended. Am a married woman for crying out loud, tena niwe nyumba dogo?? WTF?? Nikamwambia mimi nina mume wangu na mtoto. Haya yote yametokana na nini? Akajibu ooh nimekuta message kwenye draft items ameandika nasafiri karibuni baby. Nikamwambia namheshimu sana huyo kaka. Nimesoma nae na ni mtu mstaarabu sana so siku ingine kabla hujakurupuka get your facts right . Akabaki oooh mi ni mafia nitakufanyizia kuwa mwangalifu. Nikamjibu do your worst. Hivi iweje unakuta message kwenye draft kwenye simu ya mwenzio, unakurupuka tuuu. Ingekuwa inbox nimetuma mimi kweli, ama at least ingekuwa kwenye sent items kweli, draft?? Halafu sina hata regular communication na yeye? Utawapigia wangapi? Kama sio kutafuta kufa na pressure.

Lakini mbona draft haioneshi msg inaenda kwa nani ndo mana inakuwa draft otherwise ingekua sent.. ilikuaje akupigie ww wakat msg haionesh inaenda kw nani?
 
Lakini mbona draft haioneshi msg inaenda kwa nani ndo mana inakuwa draft otherwise ingekua sent.. ilikuaje akupigie ww wakat msg haionesh inaenda kw nani?

mie nahisi inategemea na aina ya simu. Coz mine shows.
 
pole.
ila hapa nime cheka hadi watu wameshangaa. seriously Karucee kuwa mwangalifu mafiaa ni hatariii sanaa, hasaaa female mafia lol.
mi ni mafia nitakufanyizia kuwa mwangalifu.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mkuu Mafia bongo hii, tena asiyejua Draft Msg ni kitu gani...

pole.
ila hapa nime cheka hadi watu wameshangaa. seriously Karucee kuwa mwangalifu mafiaa ni hatariii sanaa, hasaaa female mafia lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom