Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,379
Ningemsubiri mume wangu na kumuuliza, au kwa vile sio incriminating kihivyo ningeignore na kufanya upelelezi. Na more likely nisingeikuta kwani sina tabia yakupekua simu za watu.
mie hata simu ya mama yake iite hapo sipokei, sitakagi kabisa, nakumbuka kuna siku alisahau simu home akiwahi kazini,inaita naiangalia tu, kumbe ni yeye ananical nimpitishie ofisini kwake, na niliiacha hapo alipoiacha, jioni yake alini mind haswaa, kwamba kwanini sikupokea sijui nini na nini, alileta noma haswaaaa, ukweli ni kwamba sina muda na simu ya mtu kwa kweli.