Wanawake bwana sijui wana matatizo gani?

senkoP

Senior Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
180
Reaction score
207
Wadau kuna kitu wanawake huwa wanakosea sana, unakuta kuna mchizi anampenda kinoma na mchizi anatia mavoko kabisa sometimes na kutuma hata watu wa karibu kwa demu wamueleze lakini unakuta demu anazingua, nyodo nyingi na kumuona mshkaji kama lofa flani hivi na unakuta mwamba anaeleweka tu.

Sasa inakwenda hivyo mpaka mwamba unakuta anakata tamaa na kuacha kabisa kufatilia tena.

Cha ajabu sasa huyo dem ukimfatilia utakuta mtu anaye sumbuka nae hana hata mpngo nae lijamaa unakuta kwanza halina kipato na matokeo yke anapewa mimba halafu lijamaa linakataa hiyo mimba.

Sasa swali langu ni kwamba inamana mdem huwa hawajui mwanaume anaye mpenda au wana amua tu kujitoa ufahamu?
 
262cd606-b397-48b7-8a04-4fe2845a4789.jpg
 
Wadau kuna kitu wanawake huwa wanakosea sana, unakuta kuna mchizi anampenda kinoma na mchizi anatia mavoko kabisa sometimes na kutuma hata watu wa karibu kwa demu wamueleze lakini unakuta demu anazingua, nyodo nyingi na kumuona mshkaji kama lofa flani hivi na unakuta mwamba anaeleweka tu.....sasa inakwenda hivyo mpk mwamba unakuta anakata tamaa na kuacha kabisa kufatilia tena....chaajabu sasa huyo dem ukimfatilia utakuta mtu anaye sumbuka nae hana hata mpngo nae lijamaa unakuta kwanza halina kipato na matokeo yke anapewa mimba halafu lijamaa linakataa hiyo mimba....sasa swali langu ni kwamba inamana mdem huwa hawajui mwanaume anaye mpenda au wana amua tu kujitoa ufahamu?
Hao ni wa zamani sku hiz akijua tu una ka uhakika kidogo utalengeshewa mimba kwa nguvu utapelekwa kila mahali kuanzia ustawi wa jamii mpaka kwenye social media
 
bado baadhi wana nyodo mkubwa
 
Si utwambie tu nani uyo anasumbua tukupe fomula Mkuu?
 
Wadau kuna kitu wanawake huwa wanakosea sana, unakuta kuna mchizi anampenda kinoma na mchizi anatia mavoko kabisa sometimes na kutuma hata watu wa karibu kwa demu wamueleze lakini unakuta demu anazingua, nyodo nyingi na kumuona mshkaji kama lofa flani hivi na unakuta mwamba anaeleweka tu.....sasa inakwenda hivyo mpk mwamba unakuta anakata tamaa na kuacha kabisa kufatilia tena....chaajabu sasa huyo dem ukimfatilia utakuta mtu anaye sumbuka nae hana hata mpngo nae lijamaa unakuta kwanza halina kipato na matokeo yke anapewa mimba halafu lijamaa linakataa hiyo mimba....sasa swali langu ni kwamba inamana mdem huwa hawajui mwanaume anaye mpenda au wana amua tu kujitoa ufahamu?
Wewe unajuaje kama huyo mwanaume anampenda kweli? Kwahiyo huyo dada atakubali wangapi kisa wamemwambia wanampenda?
 
Sikia wenye tabia hizo ni watoto wa masikini kaka huwezi kumkuta demu concious halafu awe na tabia hizo
 
Back
Top Bottom