Wanawake buana!!

Sema vibinti.

Mwanamke unatorokaje na unalazaje kikopo cha kukojolea ndani?
 
nasubiri comment ya Miss chagga na Miss natafuta.. Uzi uishe..
 
We kopo hizo umezionaje?we hujui meeting in dark
 
Akivaa wigi ukamwambia NYWELE ZAKO NZURI UMEPENDEZA wanajibu AHSANTE
 
Wanawake buana hatare saana
Et kutoroka kwao usiku nakwenda kwa
msela hawaogopi ila kutoka nje usiku
kukojoa wanaogopa wanakojoa kwenye kopo Akil zao wanazijua wenyeweπŸ˜€

Kweli nature ni nature tu...
sio kopo tuu mkuu wengine hadi ndoo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…