sio kopo tuu mkuu wengine hadi ndoo...Wanawake buana hatare saana
Et kutoroka kwao usiku nakwenda kwa
msela hawaogopi ila kutoka nje usiku
kukojoa wanaogopa wanakojoa kwenye kopo Akil zao wanazijua wenyewe😀
Kweli nature ni nature tu...

![]()
![]()
nasubiri comment ya Miss chagga na Miss natafuta.. Uzi uishe..
namimi namsubiri miss chagga aje kwanza ili atoe majibu mazuri ya huu uzi 
Akivaa wigi ukamwambia NYWELE ZAKO NZURI UMEPENDEZA wanajibu AHSANTE
jamani unatakiwa kumwambia dada wigi lako zuri kama amevaa wigi na kama ni natural hair umwambia, wanawake wanapenda kusifiwa jamani hata kama kwa uongo 
![]()
![]()
![]()
jamani unatakiwa kumwambia dada wigi lako zuri kama amevaa wigi na kama ni natural hair umwambia, wanawake wanapenda kusifiwa jamani hata kama kwa uongo
![]()

Mama yako na ndugu zako wa kike wana akili na tabia hiyo?
Amesema wanawake, ina maana mama zetu na ndugu zetu wa kike. Au mi nilimwelewa vibaya?Mkuu umemtaja mama yake!
miss changa na Miss Natafuta, Namge anawaita mi hata sijui kwaajili gani😀![]()
![]()
nasubiri comment ya Miss chagga na Miss natafuta.. Uzi uishe..