Wanawake be independent, maumivu ni kwa wenye cheap girls dreams

Wanawake huwa mnaumia kwa upumbavu wenu wenyewe, you need true love but you engage in dating with fake people kisa tu ni handsome au ana pesa na gari while thats every cheap girl's dream. Wanaume wakweli mnawakataa, mnataka wale wanaowahadaa na pesa na magari. Mi huwa naamini real men with true love wapo wengi ila you are too blinded to see.

Link na mwanaume anaeanza kujijenga umsome vyema as long as ana adabu na anakuthamini mpende taratibu huku unasoma mapungufu yake, ila hakikisha upendo wake una exceed mapungufu plus be independent itakupunguzia sana headache as well as pressures kwenye mahusiano yenu. Create your own base kwa mwanaume wako, trust me you will be always his number 1. Hakuna mwanamke anakuwaga akilini kwa kidume kama yule ambaye huonesha upendo, msaada na kututhamini pindi mkiwa pamoja kwenye process ya kujijenga.

Hakuna wanawake wanaoinjoy mapenzi kama wale walio independent. Kuwa kwenye mahusiano kwa sababu umempenda mtu na sio kwa sababu ya status yake au pesa zake ili ujihakikishie mitoko na shopping, thats every cheap girls dream. Make yourself expensive kwa kujimudu katika mambo hayo, just be engaged kwenye mapenzi for genuine kind of love sio kwa njaa au tamaa na show offs. Also be creative and focused na maisha, utaona jinsi wanaume wanavyoparangana kupropose kwako na kutaka kuku keep for lifetime. Acheni uswahili jamani kuweni kama madem wa kizungu!

Sasa we hapo danga na ku cheat kisirisiri kisa jamaa hana hela ya kukutoa out halafu siku akizipata na kukumwaga uje ulalamike kipuuzi hapa maana wengi ndio tabia yenu hio. Ukimfanyia hivyo mwanaume hatosema kitu atavunga ila zikikaa vizuri hamna rangi utaacha kuiona.
Wanaume wenyewe wako wapi wenye shukrani hizo, Unavumili shida akipata pesa ana michepuko inajaa fuso.
 
BEING INDEPENDENT INAJENGWA, INAKUZWA, INATENGENEZWA!
haianzi ukubwani!
haianzi ukiwa unadate !
haianzi ukiwa unapokea mshahara!
KUWA INDEPENDENT NI ZAIDI YA KUWA NA HELA ZAIDI, AU SAWA NA MWANAUME!
binti aliyelelewa akiambiwa yeye ni KAMILI with or without money,with or without being glamour WILL ALWAYS SEE BEYOND PESA NA MAGARI!
if I date a broke and mbele akipata akaniacha , ITAKUWA NI PART TU YA MAHUSIANO! WONT BLAME IT ON HIS CARSA NOW!
if I date a loaded guy AKINITREAT KIWEHU, ITAKUWA TU NDIO PERSONALITY YAKE!

as for me!
BEING A HUMAN BEING GOES BEYOND MAGARI, PESA NA VYETI VYA ELIMU!
not that nitataka kukaa na broke akae tu kiwehu wehu nimtizame tu
not even nitakaa tu na loaded treating me bad kisengesenge kisa nini kanipa funguo, psyuuuuuuu!

a BIT COMPLICATED but NDO HIVO HIVO!
inakufaa beba , haifai iache hapa!
sio hata kesi!
Aisee mdada uko very positive and yet binti wa kwanza umeweza analyze vyema hili bandiko.
Ofcourse being independent doesn't make you clingy and picky as well. Ukiwa independent hujutii maamuzi ya kuwa na mwanaume yeyote awe rich fella or nigga with coinz cause you in there for love. Wanawake wengi wanaolalamika ukichunguza kwa undani lazima utakuta kuna some elements of dependency!
 
Unajua maisha haya yana output mbili kwakweli kwaupande Wangu ni kijana mwenye umri wa miaka 24 lakin mungu kanipendelea kidogo nina kagar na nipo kwenye process za kujenga na still now nishatembea na Kama wanawake 70+ na niliwatret vibaya San licha ya wengine kunipenda wengine kupritend lakin kwa sasa nimemuona bint mzur San ninae taka eje awe mke wangu lakin huyu mwanamke ananitesa San yaan ni type ya wanawake independent yaan azuzuki na Mafanikio yangu japo anayaona yaan nishaangaika lakin wap aniombi chochote labda abanwe Sana napo ajali hata nimpe nisimpe yeye yupo kivyake vyake kwakweli nakubaliana na mtoa Mada mwanamke akiwa independent ni rahisi San kuwaatract wanaume makin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake huwa mnaumia kwa upumbavu wenu wenyewe, you need true love but you engage in dating with fake people kisa tu ni handsome au ana pesa na gari while thats every cheap girl's dream. Wanaume wakweli mnawakataa, mnataka wale wanaowahadaa na pesa na magari. Mi huwa naamini real men with true love wapo wengi ila you are too blinded to see.

Link na mwanaume anaeanza kujijenga umsome vyema as long as ana adabu na anakuthamini mpende taratibu huku unasoma mapungufu yake, ila hakikisha upendo wake una exceed mapungufu plus be independent itakupunguzia sana headache as well as pressures kwenye mahusiano yenu. Create your own base kwa mwanaume wako, trust me you will be always his number 1. Hakuna mwanamke anakuwaga akilini kwa kidume kama yule ambaye huonesha upendo, msaada na kututhamini pindi mkiwa pamoja kwenye process ya kujijenga.

Hakuna wanawake wanaoinjoy mapenzi kama wale walio independent. Kuwa kwenye mahusiano kwa sababu umempenda mtu na sio kwa sababu ya status yake au pesa zake ili ujihakikishie mitoko na shopping, thats every cheap girls dream. Make yourself expensive kwa kujimudu katika mambo hayo, just be engaged kwenye mapenzi for genuine kind of love sio kwa njaa au tamaa na show offs. Also be creative and focused na maisha, utaona jinsi wanaume wanavyoparangana kupropose kwako na kutaka kuku keep for lifetime. Acheni uswahili jamani kuweni kama madem wa kizungu!

Sasa we hapo danga na ku cheat kisirisiri kisa jamaa hana hela ya kukutoa out halafu siku akizipata na kukumwaga uje ulalamike kipuuzi hapa maana wengi ndio tabia yenu hio. Ukimfanyia hivyo mwanaume hatosema kitu atavunga ila zikikaa vizuri hamna rangi utaacha kuiona.

yu said it all.... wanawake tumebaki tunalialia kijinga badala ya kupambana kikike tunataka sijui mwanaume mwenye hela mwenye kila kitu dharau hazitokaa ziishe yan tutadharaulika mpaka dakika ya mwisho ila kama umewahi kumeet mwanamkwe independent anaejua kutafuta pesa yake aisee hawa wanawake wanajiamini kuliko chochote na hata mwanaume anaetaka kumapproach lazima awe smart
 
Hapo umejidharau mwenyewe. You are making yourself cheap tayari.
Umri bro,umri!!!

Hakuna kingine huyu yupo 23/27 msubiri asogee sogee hapo 29/33 uso umeshaanza kuwa na makunyanzi halafu anzisha mada ikizungumzia jamii hii itakayokuwa tayari haina future,ishakuwa single mama utaona atakavyomwaga matusi hapa akilalamika tulikuwa tunafanya starehe zote ila nilipomwambia mjamzito tu akaniacha.

Wanawake kama siyo wote ila wengi ni wendawazimu,hawajui kwanini wapo duniani na kwa sababu gani wanakuwa kama tunda la msimu kwamba wakati huu nitaiva wakati ule nitachanua mauwa wanasahau kasi ya maisha inavyoenda na sasa hivi wengi wanaoowa wamekuwa masikio juu juu hawataki kuokota magalasa.

Single mom wengi mtaani ni wale walioutumia usichana wao vibaya changanya na upopoma wao kuvua vua nguo hovyo,single mama anayeweza kuwa na sababu za msingi na za kueleweka ni yule aliyebakwa tu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
yu said it all.... wanawake tumebaki tunalialia kijinga badala ya kupambana kikike tunataka sijui mwanaume mwenye hela mwenye kila kitu dharau hazitokaa ziishe yan tutadharaulika mpaka dakika ya mwisho ila kama umewahi kumeet mwanamkwe independent anaejua kutafuta pesa yake aisee hawa wanawake wanajiamini kuliko chochote na hata mwanaume anaetaka kumapproach lazima awe smart
Na pia wako intelligent sana, ukimkoleza akatulia kwako inakuwa amani tele yani. Hawanaga usumbufu wa kijinga. Binafsi nimeshadate na wanawake wa aina zote mbili. Mwanamke tegemezi huwa mlalamishi sana ila independent women go after things they want without nagging. Anachohitaji ni complements tu na upendo wako.

Ukweli ni kwamba mwanamke anatakiwa awe independent na ajielewe basi vilio vitapungua humu. Ingawa wengi wananipinga.
 
Yani wanapokosea ni sehemu ndogo tu, kila mtu anataka kuwa Michelle ila approach wanayotumia ni kudanga😂😂😂😂😂 tuna safari ndefu kweli!
 
Na pia wako intelligent sana, ukimkoleza akatulia kwako inakuwa amani tele yani. Hawanaga usumbufu wa kijinga. Binafsi nimeshadate na wanawake wa aina zote mbili. Mwanamke tegemezi huwa mlalamishi sana ila independent women go after things they want without nagging. Anachohitaji ni complements tu na upendo wako.

Ukweli ni kwamba mwanamke anatakiwa awe independent na ajielewe basi vilio vitapungua humu. Ingawa wengi wananipinga.

“Unapopingana na ukweli ndipo unaonesha dhahiri jinsi upstairs ulivo kiazi”ila hii ndio fact hakuna sababu ya kukaza kichwa
 
bora ku enjoy na huyo mwenye gari na pesa,nyie mnaojenga mkimaliza tu nyumba,mnaanza kujiona matawi n mna status nyingine hivyo mnahitaji mpenzi mwingine… lol
Na wewe una gari na pesa?? Umesoma? Una biashara?
Au wewe una papuchi tu!
 
Sikuhizi unatoa hekima ka za mfalme suleimani aisee kuwa cheap kunashusha heshima mie hunicheka wewe mbona hudangi huchuni wanaume nawaambia siwezi walah I need real love nikitegemea vyakupewa sitafikiri nje ya box na ni naweza kuwa Malaya, kweli hupata watu wengi wanaonipenda mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa sielewi hii notion kwamba sisi wanaume wenye mali hatuna mapenzi ya kweli ilitokea wapi?

Kwamba mapenzi ya kweli yapo kwa maskini tu, sisi ambao tushatusua maishani hatuwezi kupenda.

Dada zangu, bora ulie machozi ndani ya gari kuliko kwenye baiskeli. Tafuta mtu mwenye mpunga na mapenzi.
Wenye high status kwanza wana utu maskini wenzangu hawajui hata mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yu said it all.... wanawake tumebaki tunalialia kijinga badala ya kupambana kikike tunataka sijui mwanaume mwenye hela mwenye kila kitu dharau hazitokaa ziishe yan tutadharaulika mpaka dakika ya mwisho ila kama umewahi kumeet mwanamkwe independent anaejua kutafuta pesa yake aisee hawa wanawake wanajiamini kuliko chochote na hata mwanaume anaetaka kumapproach lazima awe smart
Kuwa independent unakuwa huru kwa kila jambo hata mwanaume wako anakuheshimu shida sasa uwe huna mbele wala nyuma mwanaume anakuumiza atakavyo yeye. Wanawake tubadilike tusitegemee miteremko ya maisha ina high price Ku pay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni dream ya kila mwanamke kuolewa n amwanaume,handsome,mwenye pesa,gentleman with true love,mwenye naniliu ya kutosheleza, nk.
Then tunakuja ktk uhalisia sasaaaaa
Hapo ndipo utapogundua kwanini kinyago cha kuchonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!
 
bora ku enjoy na huyo mwenye gari na pesa,nyie mnaojenga mkimaliza tu nyumba,mnaanza kujiona matawi n mna status nyingine hivyo mnahitaji mpenzi mwingine… lol
Pesa haina adabu, ikiwepo taabu, isipokuwepo pia taabu iko pale pale. Sasa bora kipi, iwepo uwe na uhakika wa kula au isiwepo?

Kuanza na mwanaume hakukupi guarantee ya kuyaenjoy maisha ya mapenzi maana %kubwa ya wanandoa wanaanzia chini lkn ndio migogoro haiishi.
 
Kuna wanaume hata hawapendeki
Unaweza mpenda akiwa Hana chochote na akakufanyia shit nyingi tu,unajitahidi binti wa watu lakini wapi

Sasa unajiuliza,Kama Leo anafanya haya ,,akipata pesa na majumba itakuwaje!??.

Kumkuta mtu amejikamilisha ama hajajikamilisha si kigezo cha kudate na mtu,,what matters Ni upendo wa dhati

Kuna wanaume Wana kila kitu kabisa na Wana upendo wa dhati,Kuna ambao hawana chochote pia wanaupendo wa dhati,Kuna wengine Wana kila kitu ila Ni wadanganyifu pia Kuna wale hawana chochote Ni wadanganyifu pia

Kwa hiyo nadhani Jambo Muhimu la kuangalia Ni true love regardless ya uwezo wake ama umasikini wake though Kuna faida na hasara ktk kila upande

Nb:Kuna mwanamke anakuja kwako si kwa sababu ya Mali ulizo nazo,anakuja kwa sababu Ana Nia ya dhati kabisa na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu mimi huwa ninashangaa, hivi kwani hauwezi kumpenda mwanaume kwa dhati na pesa zake!!!!
 
Back
Top Bottom