katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Kazoea hivyo habadiliki nitamfundisha mume wangu ndani.Ukiona mpenzi wako hajuhi kuchezea msanga, mfundishe.
Kulalamika mitandaoni hakubadilishi kitu.
Ila hawa siwezi .
Kazoea hivyo habadiliki nitamfundisha mume wangu ndani.Ukiona mpenzi wako hajuhi kuchezea msanga, mfundishe.
Kulalamika mitandaoni hakubadilishi kitu.
Mcha Mungu maana yake hatopewa mbunye maana ni dhambiTafuta mwanamke mcha Mungu.. Ibada isipungue nyumbani mwenu.. Naamini majanga kama haya Mungu atayaepusha.[emoji1666]
kwa kifupi tu,huyo anayepewa muda wote ndio aliyeteka hisia za ke,kwa hiyo ke atavumilia kwa njia yoyote ile ili amridhishe
True Hadi aoe.. bila kufunga ndoa hapati chochote.Mcha Mungu maana yake hatopewa mbunye maana ni dhambi
[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]Kama ni chake usimpangie wa kumpa
ww bembelezwa ili ufikiriwe kupewa
Usile vyake basiKuna wanaume wanahudumia sana joan ila hawajui mambo wakikukiss kama mtoto umemuweka akuchafue sikio au shingo anakung'ata anakufinya sasa wanini.
Umesema point kweli kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wanaume wanahudumia sana joan ila hawajui mambo wakikukiss kama mtoto umemuweka akuchafue sikio au shingo anakung'ata anakufinya sasa wanini.
Umesema point kweli kweli.
Mcha Mungu maana yake hatopewa mbunye maana ni dhambi
Jifunze kutokuwa kupe using'ang'anie ng'ang'aniiiiiUnakuta unamgharamia kila kitu ye hana kazi wala nini lakini hicho hicho unachompa anaenda kumpa jamaa mwingine ,kama haitoshi amempa na mbunye wakati wote anavotaka lkn Wewe kwa masharti kibao... Dah
Wanawake banaa...
Hata mara moja hupewiNdio wanavyofanyaga??? Me ukishanipa mara ya kwanza utarudia tena na tena na tena hata kama n mama mchungaji n bora usingenipa kabla sio kuleta msimamo wakati ulishakubal
Hata mara moja hupewi
Ni mkeo? Kama sio acha kujipendekezaUnakuta unamgharamia kila kitu ye hana kazi wala nini lakini hicho hicho unachompa anaenda kumpa jamaa mwingine ,kama haitoshi amempa na mbunye wakati wote anavotaka lkn Wewe kwa masharti kibao... Dah
Wanawake banaa...
Akiendelea na huo ugoigoi. Nitafute, nimsaidie kazi.Kazoea hivyo habadiliki nitamfundisha mume wangu ndani.
Ila hawa siwezi .
Mimi nampenda Demu kama zima moto kila ukiwa na emergency yaani fresh tu,sio unaomba mchezo jumatatu unakuja kupewa Jumamosi!Unakuta unamgharamia kila kitu ye hana kazi wala nini lakini hicho hicho unachompa anaenda kumpa jamaa mwingine ,kama haitoshi amempa na mbunye wakati wote anavotaka lkn Wewe kwa masharti kibao... Dah
Wanawake banaa...
Nitavumilia mpaka ndoa kama huyo mwanamke nina uhakika ni bikra FULLSTOPTrue Hadi aoe.. bila kufunga ndoa hapati chochote.
Na kama anataka wauzaji asilalamike[emoji1787][emoji1787]
Nitavumilia mpaka ndoa kama huyo mwanamke nina uhakika ni bikra FULLSTOP
Mwingine anakupa kwa yale masharti ya kusema kwamba jana tulifanya leo na kesho tupitishe ili naye awe na hamu....Ukiona unatoa pesa na kuhudumia ila bado unapewa masharti ya kupewa mchezo hapo kuna mawili
Hakupendi
Hujui game anaona unamchosha tu