Wanawake badilikeni

....mie nikazitoa nikawapa watu wengine....!
 
Kwa hiyo hiyo ndio sababu ya kuchepuka???

Unachepukq kwa kuwa kun harufu...na yeye achepuke kwa kuw hujala???

Kweli bado hisani ya watu wa marekani inahitajika
 

Kama ni mara ta kwanza kutokea kuwa mpole kipindi mnaanza mapenzi yako moto wala usingeona hilo changamoto kwasababu ushamchoka unaona solution ni mchepuko.
 
Ina maana utachepuka sana tuu kwani kwenye maisha ya ndoa kuna changamoto nyingi.
 
pupa yangu kufungua thread hovyo hovyo sasa ona nimeambulia kukutana na ushuzi tu!!
 
Kosa la siku moja likuganye uchepuke!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…