kijana Mpole 01
Member
- Sep 20, 2014
- 69
- 14
Vaa helmet mkuu
hahahah
Maneno utakayorushiwa hutakaa usahau..ngoja watoke kudoea pilau utawaskia
hahahaha kudoea pilau, utafute na ww uko helmet mapema:biggrin1:
Aisee wanawake tumezidii jamaniii kujipodoa
Aisee wanawake tumezidii jamaniii kujipodoa
Ushauri kuntu, na kwa kuzingatia ushauri wako mimi sijawahi kukutana na type hizo. Hivi na hizo kicha za bandia wanajisafishaje??