- Thread starter
- #21
Hao kina mama ni wa chama gani?Mbona mm nakaa usa River sijasikia
hilo?Hatudanganyiki.
yeye ni mbunge wa baadhi ya watu???kumbuka ukishakuwa kiongozi wa serikali unaongoza watu wote hata wale wanaokupinga.wewe kujenga hoja kuwa ni watu wa chama gani wanaotoa maoni haya ni ulimbukeni tu.Mwalim Nyerere anaita uzuzu