Mkuu Numbisa anika nje tu zikauke vizuri na mambo ya kuanika ndani zitakua hazikauki vizuri na ndo chanzo ata cha fangasi
mwambie akianika nje asifunike na kanga wala shuka aache zipate jua
Ni kweli kabisa maana zikikaa mda mrefu nje zinanyeshewa mvua na kupigwa jua kali nguo huchoka na kuisha mapemanguo zinaharibika mkuu,kwanza watoto watapata magonjwa ya ngozi maana inakaa kwenye kamba hadi wadudu wanazaliana hapo .unatakiwa uwe mkali maana utakuwa unanunua nguo kila mara
ongea nao mkuuNi kweli kabisa maana zikikaa mda mrefu nje zinanyeshewa mvua na kupigwa jua kali nguo huchoka na kuisha mapema
Pilipili iko shamba wewe inakuwasha nini?kuna jirani yangu bwana nguo zake huwa anafuliwa na mama mmoja hivi anakuja kufua jmosi kuja tena hadi jtano
huyu mama jirani kutoa nguo kwenye kamba ni kazi .kipindi cha jua nguo zinapigwa jua hadi unazionea huruma unatamani hata kuzipa maji ya kunywa.
sasa kipindi hiki cha mvua sasa nguo zinanyeshewa zinakauka zinanyeshewa tena basi taabu tupu .nahisi watakuwa wananuka sana humo ndani. kuna wakati mume akitaka nguo flani unamuona anaifata kwenye kamba jamani. huwa nacheeka kama mazuri.
kuna wanaume ndani wana shida hadi basi.
weweePilipili iko shamba wewe inakuwasha nini?
Kama jirani ana nyumba ya ghorofa?Aiseee yaan unamfaidi jiran,ningekua mie ndo jiran ningeweka fensi kali mno
Duh umenisaidia mimi nimefunga kamba kwenye guest room ndio naanika nguo!basi kanunue hizi pale mlimani city uanike tu ndani kwa raha zakoView attachment 503393
uzuri wa hiki hata mvua ikinyesha unakihamisha tuDuh umenisaidia mimi nimefunga kamba kwenye guest room ndio naanika nguo!
Hahaila kugegedwa wanapenda kutega mashine kila saa
jamaaa namuona kwenye kamba anatafuta boxer ya kuvaa kesho tet teh zilivonyeshewa sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hajaanua zinanyeshewa naziona hapo nje
ahahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
jamaa namuona kwenye kamba anatafuta boxer ya kuvaa kesho[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora yangu me cvaagi boxer, wanasema joto jingi linasababisha mbegu zinakuwa dhaifu[emoji125] [emoji125] [emoji125]jamaa namuona kwenye kamba anatafuta boxer ya kuvaa kesho
Kinini hicho miss?uzuri wa hiki hata mvua ikinyesha unakihamisha tu