Wanawake anueni nguo

[emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye maji ya kunywa aisee chaa[emoji126][emoji126][emoji126]
 
Hii tabia siipendi sana, hata shemeji yangu anayo akifua nguo za watoto na zake zitakaa kwenye kamba hata wiki nzima. Pia anaweza kuloweka nguo hata wiki nzima ila namchukulia poa tu
 
Hii tabia siipendi sana, hata shemeji yangu anayo akifua nguo za watoto na zake zitakaa kwenye kamba hata wiki nzima. Pia anaweza kuloweka nguo hata wiki nzima ila namchukulia poa tu
nguo zinaharibika mkuu,kwanza watoto watapata magonjwa ya ngozi maana inakaa kwenye kamba hadi wadudu wanazaliana hapo .unatakiwa uwe mkali maana utakuwa unanunua nguo kila mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…