Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
- Thread starter
-
- #41
mke mvivu hadi anakeraUmenena kuna wanawake wengine pasua kichwa hawajitambui hata kidogo na ndo maana hawakawii kuachika ndani ya nyumba.Huyo mzee anamoyo sana ningekua mimi,ningekua mimi,mimi---------.
yaani mimi nikitaka kuoga navua nguo zote chumbani natupia under kwenye kikapu chake nguo zangu kwenye tenga huyoo bafuni uchiii kwa raha zangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mbaba mmoja yeye akikosa nguo anayotaka kuivaa iwe boksa,bukta,nguo yoyote atamuuliza House girl hata mbele ya mkewe
mimi naanika tu mchana kweuuupe
lakini zipo zenye uwezo wa kukausha..mashine zingine kumbuka hazikaushi
Haaaaa usije ukakaanzaHahaa weuwee nani ataruhusu hako ka tabia
usicheke yaani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ndio najua kila mtu na uwezo wakelakini zipo zenye uwezo wa kukausha..
Nipe iyo kazi basi bibieHahaa hamna bana,naanika nje zenyewe chini kanga kwa juu na vibanio tele
Waaow so romantic
kama uwezo haupo,mwanamke ana kazi..ila ndio maishaMkuu mashine kwa uchumi gani walionao. Kama tu miss natafuta kawashuhudia jua wanaishi nyumba isiyo na fensi
Nafasi zimejaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]Haaaaa usije ukakaanza
Nipe iyo kazi basi bibie
Tenga la kufunikia kuku we unawekea nguo[emoji15] [emoji15] aiseee
basi kanunue hizi pale mlimani city uanike tu ndani kwa raha zakoMazingira mengine hayaturuhusu kuanika wazi
Sio anakeramke mvivu hadi anakera
ila kugegedwa wanapenda kutega mashine kila saaKuna wanawake wavivu sana
Tenga la kufunikia kuku we unawekea nguo
ni kweli nakubaliana nawe..basi kila mtu atimize majukumu yake..kama ni mke afanye yake..mume vilevile afanye yakendio najua kila mtu na uwezo wake
[emoji15] [emoji15]yaani mimi nikitaka kuoga navua nguo zote chumbani natupia under kwenye kikapu chake nguo zangu kwenye tenga huyoo bafuni uchiii kwa raha zangu
Aisee naona Antonio de Guzman anajisogeza taratibu ngoja nimdake kwa muda nipate hela ya manunuzibasi kanunue hizi pale mlimani city uanike tu ndani kwa raha zakoView attachment 503393