Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,291
- 14,787
Na kweli sitokei huo mkoa.Mkuu hadi hapo inaonyesha ww hutokei katika mkoa mkuu...
Mmh. Hao ndio wale wachache wanaoharibu na kuonekana wanaooshwa kucha wote wanaenda kwa lengo la kupata hiyo raha.Kuna dada mmoja ni mke wa mtu tuliwahi kufanya ofisi moja.Alikuwa anashindwa kabisa kufanya kazi siku aki wa miss waosha miguu.Kila wakati alikuwa akizungunzia ana hamu ya kuoshwa miguu.
Nilipomuuliza kulikoni anakuwa obsessed na shughuli hiyo,alikiri huwa inampa raha hadi anapata orgasm.
No liashangaa sana.Waacheni tu wake zenu waende enyi wanaume wa Dar!
Inawezekana wameolewa lakini hawajitambui au wanajitambua ila wao ndio wameoa so muolewa hana uwezo wa kuhoji japo hapendi.Mke wa mtu mwenye akili nzuri hawezi kufanyiwa hivyo.
Hawa wadada aliowatolea mfano naimani hawajaolewa.
Hahaaa. Sawa ipo na sio sawa pia ipo.
Sawa inakuwepo ikiwa mwanamke anayeoshwa hizo kucha atajistiri vizuri pasi kumshawishi muoshaji na sio sawa ikiwa anayeoshwa kavaa nguo zenye kumuacha uchi baadhi ya maungo yake ambapo kwa walio wengi huwa zinaleta ushawishi kwa waoshaji.
Pia nimalizie kwa kusema urembo wa miguu hata sisi wanawake tunaweza kuwa nao pasi kutegemea hao vijana.
SawaHahaaa. Nyie ndio mnalichukulia ni jambo zito.
Cha muhimu na kinachotakiwa kupigiwa kelele ni hao wanawake kujitambua tu na kujua wao ni kina nani. Sababu usafi muhimu Mkuu.
Na hatuwezi kusema si sawa wakati kiuhalisia wateja wao ni wengi kupita kiasi.
Hivi Mshenga utaamini mie sijawahi fanyiwa hiyo kitu na sababu ni kwamba sipakagi kitu inayoitwa rangi zaidi ya hina.Aiseee mwali nakupinga
Hamuwezi hiyo kazi hta kidogo
Hahahaaaa. Lol.Akili zao wanazijua wenyew aiseee
Hivi Mshenga utaamini mie sijawahi fanyiwa hiyo kitu na sababu ni kwamba sipakagi kitu inayoitwa rangi zaidi ya hina.
Na ukiniona kucha zangu ziko vizuri tu. Mie naona kwa anayeweza si mbaya akasafisha kucha zake mwenyewe na kwa wale wasio weza waende tu wakaoshwe mbaya ni kutokujithamini na kilichowapeleka.
Walio olewa wengi wanafanya hivyo. Kama wanatoa papuchi kabisa,hii ni kitu kidogo kabisaMke wa mtu mwenye akili nzuri hawezi kufanyiwa hivyo.
Hawa wadada aliowatolea mfano naimani hawajaolewa.
Kwani kuna shida gani hapoMke wa mtu mwenye akili nzuri hawezi kufanyiwa hivyo.
Hawa wadada aliowatolea mfano naimani hawajaolewa.
Hahahaa. Mshenga usimwite mikononyuma sababu muoga huyo. Eti anaogopa watu wasiojulikana.
HahahahahahahaahHahahaa. Mshenga usimwite mikononyuma sababu muoga huyo. Eti anaogopa watu wasiojulikana.
Na kweli sitokei huo mkoa.
Mimi ni wa mkoani huku hayo mambo ya mke wa mtu kuoshwa miguu na mwanaume asiye mumewe huku hayapo.
Kwani huku hakuna mwanaume mpumbavu atakaekubali mkewe akapapaswe papaswe mapaja na mwanaume mwingine.
Mbona link inaleta mipira sasaJason, the Orgasmic Foot Masseur, Makes His Customers&[HASHTAG]#039[/HASHTAG]; Toes Sing | The New York Observer
The safest sex ever: Orgasmic foot massage
i used to have a frend who was lerning to be a foot therapist, and she used to practice on my feet .................hiyo raha yake we acha tu! ukimaliza lazima ulale kwanza ...lol