Wanawake angalieni hili

Gaijin na Chamoto asante kwa posts zenu zimenifumbua macho na kunipa mwanga mpya! Hili suala kwa kiasi linafanana na zile huduma mpya kwenye saloon za kiume!

Sote tuwe makini for the sake of our families.
 


yale yale ''nahisi nahisi naibiwa,nachanganyikiwa nahisi naibiwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....................''
 
Kwa hiyo dadaangu Gai uko tayari kucheat pakiwa na mazingira muafaka? Au ndo unaendeleza kucheat?


mimi ni katika wanaotumia nguvu za ziada kukimbia mazingira tatanishi ili nisije kucheat,.................

kuchezewa nyayo na wanaume ni no.........kusukwa na mmasai ni big no, ...................
 
Dini yangu hairuhusu mwanaume zaidi ya mme wangu kugusa ngozi yangu!!! ...
 
masaji....pedicure... manicure... ni hatari ... it's all about TLC!!!:doh:
 
na vidume vinavyopakatwa vichwa kwenye manyonyo....!!!kweli mkuki kwa nguruwe!!
 
Ndo maana wanasema vidume ni ma-saloonists wazuri uliko hata wadada...
 
Siku moja nimepita pale Mwenge nikakuta mama mmoja katika hatua za kukamilisha pedicure anafanyiwa massage ya miguu. Dogo anamshika shika anapanda mpaka mapajani mama wa watu katulia tuliii!!
 
Siku moja nimepita pale Mwenge nikakuta mama mmoja katika hatua za kukamilisha pedicure anafanyiwa massage ya miguu. Dogo anamshika shika anapanda mpaka mapajani mama wa watu katulia tuliii!!

Ndo ukute ni shangazi yako sasa...................dah!
 
mimi ni katika wanaotumia nguvu za ziada kukimbia mazingira tatanishi ili nisije kucheat,.................

kuchezewa nyayo na wanaume ni no.........kusukwa na mmasai ni big no, ...................

natamani iwe kweli maana ukweli unaujua wewe
 
Teh teh teh! Nitajifanya sijamuona kwa kweli. Na ukikuta ni mpenzi wako?

Nini Mpenzi hata mke ; ni aidha anajieleza na kuapa kutorudia ama ndoa ndio kwishnei; maana anaweza kuwa amaeingia mkenge wa kiuga ukisasa kaka kasuku!
 
Kupakwa rangi kwa wanawake na kuchezewa sijui visigino naona sawa tu na siye wanaume tunapoenda kwenye masaluni yetu yaleeeee ya kufanyiwa mavitu na wadada tofauti ni kwamba wapaka rangi hujitembeza kuwapata wapakwa rangi ila tuendako ni kweli watafungu visaluni vyao vya kupaka rangi hapo ndo visigino vitachezewa haswaaaaaaaa
 
Dini yangu hairuhusu mwanaume zaidi ya mme wangu kugusa ngozi yangu!!! ...


Yaani tulivoshikana mikono hapa majuzi pale City garden tulitenda dhambi?:help::help:
 
dah! Ndo unaona mkono wa jamaa unazama mapajani na kushuku unyayoni. Nampiga chini palepale

Nini Mpenzi hata mke ; ni aidha anajieleza na kuapa kutorudia ama ndoa ndio kwishnei; maana anaweza kuwa amaeingia mkenge wa kiuga ukisasa kaka kasuku!
Mh, kweli watu wakali kwa mali zao! Inabidi ukomae tu usupervise zoezi mpaka liishe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…