King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,670
- 68,630
This message has been deleted By HAZOLE.
Ukiona dada anaonyesha hizo signs muendee faragha huenda ukamsaidia....
sitii neno ila kuna vielement vya ukweli kbssss.jamani habari zenu,
nimekuwa nikijiuliza sana, maana ofisini tuna dada mmoja aged 30yrs hajaolewa, yaani yeye amekuwa gumzo kwa wateja, ana harsh language,hasira hazimuishi, pia hata akiwa na wenzake yeye maada zote za mahusiano na familia yupo negative.
sasa mbali na huyo, nina experience ya dada mwingine mtaani, yaani ni vilivile yeye ni 34 yrs. mara aseme "kuolewa kitu gani"? mara "dah nikipata mme" yaani simuelewi.
nikajiuliza hivi mwanamke asipopata fursa ya kuolewa ana panic?
nawasilisha
xmass njema
Kwa nini umerukia "ndoa"
Je wamewahi kukwambia hasira zao zimeletwa
sababu hiyo ( hawajaolewa) ? au ni una guess tu??
Maana mtu anaweza ku kasirika kuhusu kitu kingine
kabisa.. Na kila utakapo muuliza kuhusu chochote kile
atakuwa yuko Negative ..

Mkuu una valid point ingawa kuna walio sensitive watamaind.... there is a truth, ni sawa na mama ambaye nyumbani hapewi mshedede huwa na visirani mno!!jamani habari zenu,
nimekuwa nikijiuliza sana, maana ofisini tuna dada mmoja aged 30yrs hajaolewa, yaani yeye amekuwa gumzo kwa wateja, ana harsh language,hasira hazimuishi, pia hata akiwa na wenzake yeye maada zote za mahusiano na familia yupo negative.
sasa mbali na huyo, nina experience ya dada mwingine mtaani, yaani ni vilivile yeye ni 34 yrs. mara aseme "kuolewa kitu gani"? mara "dah nikipata mme" yaani simuelewi.
nikajiuliza hivi mwanamke asipopata fursa ya kuolewa ana panic?
nawasilisha
xmass njema
Sema ukweli wewe umeolewa?
Inahusu...?
Nwy ndio tunakusanya vyombo hapa baada ya sherehe, sasa hivi wanaelekea mahali kufurahia honeymoon.
Unaangalia wenzio wanakusanya vyombo hahaha we yako vp?
Miaka minne iliyopita.
Umegundua vipi nasumbuliwa na yeyote yule?Kumbe isha pita sasa nn kinakusumbua kwa hawa ambao hawajaolewa na wanawivu balaa na wivu juu au na nyie mlio achika ndo mlivyo na hasira?
Kwa nini umerukia "ndoa"
Je wamewahi kukwambia hasira zao zimeletwa
sababu hiyo ( hawajaolewa) ? au ni una guess tu??
Maana mtu anaweza ku kasirika kuhusu kitu kingine
kabisa.. Na kila utakapo muuliza kuhusu chochote kile
atakuwa yuko Negative ..
Umegundua vipi nasumbuliwa na yeyote yule?
Unatokwa sana na povu
Aiseee!Ngoja nikatafute maji nisuuze mdomo!