Espoir_jnr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 588
- 2,135
Hawa saivi ni kama faru weupe ni adimu sana kupatikana.Si aanze kujichekesha chekesha na kuona aibu huku aking'ata kucha na kuchora chora ardhini..ππ
Kuna tofauti ya kusema "nakupenda" na kupenda kweli.Ujaonyesha maokoto yako vizuri..........atachukua sekunde 2 tu kusema ndio nakupenda na papa ukapewa bureeee
Ndio mwenyekiti.Bujibuji mida hii ni mwanamke tu unawaza.....
Anyway addition point mwanamme hutumia muda wake mwingi sana kumuwaza mwanamke.
Ref jf threads π
ππ poa sana.Uzuri mwenyewe najijua how I looks like πππ....vipi lakini unaendeleaje
Usijali, hujaniambia sasa unaenda misa ya ngapiππ poa sana.
Sunday kanisani narudia mara ya 10 unipitie.
Saa 2 ndio unyama.Usijali, hujaniambia sasa unaenda misa ya ngapi
SawasawaSaa 2 ndio unyama.
Ndo maana tunatembea vifua mbereeeNdio mwenyekiti.
Vifua au manyonyo?Ndo maana tunatembea vifua mbereee
OHH YEAHkwanza wanaume kichwa ngumu tuna namna nyingi ya kuikabili sononaππ
Ndio wateja waoKuna kituo fulani cha radio ya dhehebu fulani...kila nikifungulia nasikia wanajadili mwanamke.ππ
π€£π€£π€£ Nimecheka kweli πWee sema kweli
Keta ukalambalala?π€£π€£π€£ Nimecheka kweli π
Utulo lukalipoKeta ukalambalala?
ViweleVifua au manyonyo?
Ufanisi gani huo ikiwa Mwalimu wa Ke yeyote ni Kipofu?80% ya Wanawake hutumia Ukimya kuonesha Maumivu yao.
Mwanamke huchukua siku 15 kumpenda mtu lakini Mwanaume humchukua...Sekunde 8.2.
Wanawake huchukua muda mrefu kufanya maamuzi, na wakisha amua hushikilia msimamo wao.
Wanawake ni rahisi sana kupata msongo wa mawazo linapotokea tatizo, kwasababu hujilaumu sana kutokana na tatizo hilo.
Wanawake hupata ndoto zaidi usingizini kuliko Wanaume.
Uwezo wa mwanamke kutunza siri ni masaa 47. Baada ya muda huo atamsimulia mtu hiyo siri.
Ubongo wa Mwanaume ni mkubwa kwa asilimia 10 zaidi ya ubongo wa Mwanamke. Lakini Ubongo wa mwanamke hufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
Ni asilimia 2 tu ya Wanawake hujikubali wao ni wazuri, ila 98 asilimia wanakataa. Mfano mwambie mwanamke we Mzuri utasikia Mimi mbona nipo Kawaida tu! Ukimwambia wewe wa kawaida tu anakununia!
ASILI KWANZA!!!!!
Mkuu hata kapicha hamna?80% ya Wanawake hutumia Ukimya kuonesha Maumivu yao.