Wanawake acheni uchokozi

Wanawake acheni uchokozi

Umenikumbusha mwaka 1995 na utundu wa uvulana rijali. Ilitokea kama zali siku moja kwenye daladala nilikua nimekaa siti moja na demu mkali sana majira ya kama saa mbili usiku, hatukua tunasemeshana lakini alipokuja konda yule dada akatoa nauli kumpa konda akimwambia akate ya watu wawili yaani yake na yangu!
Kidume nikaona nyota ya jaha imenidondokea, dada akawa anashuka kituo kinachofuata na mimi japo hakikua kituo changu nikashuka nae. Sasa bana nikajidai na mimi naenda muelekeo anaoenda yeye huku naanza kumsemesha. Hatua chache tu dada akasimama ghafla akanigeukia na kuniuliza 'unakwenda wapi?kukulipia nauli imekua nongwa? Mawazo yako yanakutuma nimejitongozesha kwako, hivi wanaume mkoje?' Basi nilikula za uso za kutosha, lakini kwa vile ilikua ni usiku watu wengi hawakushtukia, mimi huyo nikageuza nikarudi kituoni kusubiri gari niendelee na safari yangu
Hahahaaha
 
Kichupa kilikuwa kimejaa hicho.

Kichupa kikijaa Wewe unakuwa si Wewe tena..mitego mitego kama hiyo basi huwa inapoteza dira kweli Kweli..

Ushauri wa bure kapunguze ujazo wa kichupa.
 
Umenikumbusha mwaka 1995 na utundu wa uvulana rijali. Ilitokea kama zali siku moja kwenye daladala nilikua nimekaa siti moja na demu mkali sana majira ya kama saa mbili usiku, hatukua tunasemeshana lakini alipokuja konda yule dada akatoa nauli kumpa konda akimwambia akate ya watu wawili yaani yake na yangu!
Kidume nikaona nyota ya jaha imenidondokea, dada akawa anashuka kituo kinachofuata na mimi japo hakikua kituo changu nikashuka nae. Sasa bana nikajidai na mimi naenda muelekeo anaoenda yeye huku naanza kumsemesha. Hatua chache tu dada akasimama ghafla akanigeukia na kuniuliza 'unakwenda wapi?kukulipia nauli imekua nongwa? Mawazo yako yanakutuma nimejitongozesha kwako, hivi wanaume mkoje?' Basi nilikula za uso za kutosha, lakini kwa vile ilikua ni usiku watu wengi hawakushtukia, mimi huyo nikageuza nikarudi kituoni kusubiri gari niendelee na safari yangu
pole mkuu
 
Mimi ningechukua boda boda mpk ashuke nimalize kabisa

Fb shikamoo kwa madem mtelemko nimewachoka mwaka huu zaidi ya sabini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom