Wanawake acheni uchokozi

Wanawake acheni uchokozi

Pengine alikufananisha tu na mtu fulani na kwasababu hamkupata nafasi yakuongea basi wewe umedhania ni uchokozi na kumbe kwa upande wake ni kakufananisha tu , sasa una chachawaaaaa huku jf
 
Mimi nikishiba mapupu hata nikonyezwe vipi sishtuki[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwa hiyo jiachieni tu ili kupunguza stress za vyuma kukaza[emoji23] [emoji23]
Mie huwa sikonyezi jamani... Ila huwa naachia tabasamu tuu
 
Hapo kwenye tabasamu ndio Cancer yangu, uzuri tupa kule
Haha [emoji23]
Hata mie huwa nafarijika mnoo nkutane na mwanaume mwenye tabasamu nono aki na mie huliachia ka namjua vilee!!!! [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom