Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Ukaka gani huu? Hujui napatika kitaa kipi?safi tu...Sister upo wapi?

Ukaka gani huu? Hujui napatika kitaa kipi?safi tu...Sister upo wapi?

Dada tangu siku nyingi nakwambia uniPM hutaki mimi nkikupm inakataa...sijui hata umehamia wap siku hiziUkaka gani huu? Hujui napatika kitaa kipi?![]()
NitakufikiriaDada tangu siku nyingi nakwambia uniPM hutaki mimi nkikupm inakataa...sijui hata umehamia wap siku hizi
Hahaha mkuu pole sna kwel yalikukuta anyway mm sikufikia ukoUmenikumbusha mwaka 1995 na utundu wa uvulana rijali. Ilitokea kama zali siku moja kwenye daladala nilikua nimekaa siti moja na demu mkali sana majira ya kama saa mbili usiku, hatukua tunasemeshana lakini alipokuja konda yule dada akatoa nauli kumpa konda akimwambia akate ya watu wawili yaani yake na yangu!
Kidume nikaona nyota ya jaha imenidondokea, dada akawa anashuka kituo kinachofuata na mimi japo hakikua kituo changu nikashuka nae. Sasa bana nikajidai na mimi naenda muelekeo anaoenda yeye huku naanza kumsemesha. Hatua chache tu dada akasimama ghafla akanigeukia na kuniuliza 'unakwenda wapi?kukulipia nauli imekua nongwa? Mawazo yako yanakutuma nimejitongozesha kwako, hivi wanaume mkoje?' Basi nilikula za uso za kutosha, lakini kwa vile ilikua ni usiku watu wengi hawakushtukia, mimi huyo nikageuza nikarudi kituoni kusubiri gari niendelee na safari yangu
Kwel kaka ila nimemezea mate yameisha maana hii hali ya sasa ni shidaahMkuu pambana na hali yako,pesa imekuwa ngumu angalia usije uka lipishwa mkonyezo mjini hapa!
Ivi flying kiss ina uwezo wa kuzimisha ..??Mmh kukonyezwa tu ushalegea je angekupa flying kiss si ungezimia kabisa
Ivi flying kiss ina uwezo wa kuzimisha ..??
Hahahaa asante mkuu lakini mavi ya kale hayanuki ni visa vya enzi ya ujanaHahaha mkuu pole sna kwel yalikukuta anyway mm sikufikia uko
Ningeanza nyimbo kwenye basi eeh?Ulipoteza muda kwenye bas
Duuh kama sio watu wanakua kina nani mkuu hemu dadavua kidogoWengi inakuwa sio watu mkuu, tahadhari sana