colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,926
Habar zenu wana jf natumai mko poa wote
Niende direct kwenye mada bila kupoteza muda. Ni hivi yaani jana wakat nipo katika moja ya usafir wa umma ndan ya gar kulikua na mtoto mkali kiasi basi wakat napanda ndan ya hio daladala tuligongana macho. Sasa hatar ilikua wakat tayar kituo changu cha kushuka kimefika
Wakat tayar nimeshashuka mtoto mzur aligeuza kichwa chake nyuma ya kioo kwa nje ya gar tukagongana tena macho basi sikuamin baada yule mtoto mzur kurusha mkonyezo wa maana. Yaani sikujua nini nafanya nilibaki na tabasamu tu kwan kioo kilikua kimefungwa na gar inaondoka ila kiukwel aliniweka vibaya sna kwa ule uchokozi alionionesha
Ilifanya nichukue muda mrefu hadi akili kurejea katika normal state
Wanawake acheni uchokozi , mtafanya tugongwe na magar kwa kufkiria tulivyoviona