Wanawake acheni tabia ya kusachi nguo za mabwana zenu

Kufa c mwiko

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
756
Reaction score
322
Leo wife katika harakati zake za upekenyuzi wake kwenye nguo zangu kazama kwenye Koti kakuta kondomu nilipewaga siku mingi kwenye promo sasa ni Jana tu nimeiweka kwenye Koti Leo kaikuta nimemwambia achukue akatumie si anajifanya askari magereza mpekuzi binafsi sipendi tabia hii bana!
 
Kaka naona ndoa umeichoka. Wewe ungemkuta nayo ungefurahi? Na usikute hamna kawaida ya kutumia mkiwa pamoja. Mueleweshe badala ya kutumia maneno ya kashfa na ujaribu kuvaa viatu vyake uone vinabana kiasi gani ndio umuhukumu
 
Hahahaaaa.... next time weka kwenye pochi ya mkeo kisha msachi....
 
Je,kama ungemkuta wife wako ana lady pepeta ungejisikiaje? Maandiko yanasema,umtendee mwenzako upendavyo kutendewa naye...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kwa mara ya kwanza unaweza nifanya nikatukana hapa JF, hivi wewe una akili timamu kweli? kama ulipewa

ulihifadhi kwanini?Huyo mke wataka akufulie nguo atafuaje bila kukagua? huyo mke wataka akuwekee nguo zako vizur

atawekaje bila kukagua? embu ficha ujinga wako kidogo!!!!!! WEWE una tabia chafu na leo umeumbuka, tena haraka

muombe mkeo msamaha kwa majibu ya kipumbavu uliyomjibu.!!!!
 
Full mabusara, nimeipenda hii!
 
Leo wife katika harakati zake za upekenyuzi wake kwenye nguo zangu kazama kwenye Koti kakuta kondomu nilipewaga siku mingi kwenye promo sasa ni Jana tu nimeiweka kwenye Koti Leo kaikuta nimemwambia achukue akatumie si anajifanya askari magereza mpekuzi binafsi sipendi tabia hii bana!

Sioni kama kuna ubaya. Inategemea anapekua kwa ajili gani. Mfano anataka kufua, ni laZma aangalie labda kuna vitu vyenye ncha kali kama tooth pick nyembe fedha nk so ni kwa usalama wake na hela
 
kwa mara ya kwanza unaweza nifanya nikatukana hapa JF, hivi wewe una akili timamu kweli? kama ulipewa

ulihifadhi kwanini?Huyo mke wataka akufulie nguo atafuaje bila kukagua? huyo mke wataka akuwekee nguo zako vizur

atawekaje bila kukagua? embu ficha ujinga wako kidogo!!!!!! WEWE una tabia chafu na leo umeumbuka, tena haraka

muombe mkeo msamaha kwa majibu ya kipumbavu uliyomjibu.!!!!

Mhh! Punguza ukali, fikisha ujumbe taratibu nitakuelewa. Umesahau maneno matam humtoa nyoka pangoni?
 
kwa mara ya kwanza unaweza nifanya nikatukana hapa JF, hivi wewe una akili timamu kweli? kama ulipewa

ulihifadhi kwanini?Huyo mke wataka akufulie nguo atafuaje bila kukagua? huyo mke wataka akuwekee nguo zako vizur

atawekaje bila kukagua? embu ficha ujinga wako kidogo!!!!!! WEWE una tabia chafu na leo umeumbuka, tena haraka

muombe mkeo msamaha kwa majibu ya kipumbavu uliyomjibu.!!!!
Nimekupa Like hapo Mkuu,kama amekusikia ataenda kuomba huo msamaha
 
Bwanaeee kusearch kubaya tungekuwa name tunyoka tudogo tungekomesha tabia hii.
 
Nna mashaka kama huyo ni mkeo na hiko cheo cha mke umempa toka moyoni.
 
Lazima tusachiii hua mnafichamo condom etiii tumewajuaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom