Wanawake acheni tabia hii

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,469
Natumai hamjambo wanajamvi.

Wanawake hasa walio kwenye ndoa wana haka katabia, ikitokea mwanamke akataka game mwanaume hajisikii mwanamke huchukia sana na hupelekea kulipiza kisasi siku ukimtaka atakunyima kusudi.

Lakini upande wetu wanaume tukiwataka wakatunyima hua tunawabembeleza na ikishindikana kabisa tunachukulia poa wala hatuwanunii wala kulipa visasi.

Tafadhali acheni hii tabia coz kama ambavyo nyie kuna wakati hamjisikii, hata sisi kuna nyakati pia hatujisikii.
 
Hivi mkuu huoni AIBU? hivi MWANAUME utaanzaje KUTOKUJISIKIA KUMTAFUNA MKEO? mkuu aibu naona Mimi..... kwangu SEX ni kama MSWAKI ...LAZIMA nipige kila SIKU...
Daily rutin mzee
Huyu atakuwa na vijimambo tu
 
Hatari sana MKUU,, WANAUME tupo tofauti sana,,ngoja niwape PIN CODE za mke,,,MPE dozi ya sex ambayo inakuwa unapiga kila siku tena either usiku au asubuhi,,lakini asubuhi ndy haswa LAZIMA UTAFUNE...asubuhi ni afya,,,pia hukufanya siku yako iwe nzuri...kiwe KIMOKO kama cha dk 15 hivi ushamaliza,,USIMPE DOZE YA MUDA MREFU SANA ATAKINAI,, mfanye umuache na hamu ya kufanya tena jioni ,,,halafu kuna doze ya week end hyo ndy ile game ya USHINDANI....bila 45 minutes SISHUKI MGONGONI....hapo utamuona kila usemacho SAWA MUME WANGU....mwanamke akiwa jeuri ni sifa ya kutomridhisha kimapenzi..
[emoji1][emoji1][emoji1]Aisee
 
Ndo maana Siku hizi tuna matawi(branches)
kule kisima kinakaushwa nikirudi nyumbani akijisikia haya asipojisikia ni Bora zaidi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cha asubuhi kinakuaga kitamu balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…