Hapa ndio pakumtag Melo mana sio kwa mambo hayaππππππakome bwan,,,sasa utaona uyo mkaka namie nampenda ila kusema ndo siwezi afu aje anambie anamtaka rafiki angu,,we kuweza ππ
Akutafune tu hata kama sio pisi kali? πππNdo namharibia sasaπ
Ndo nan tena uyo ππHapa ndio pakumtag Melo mana sio kwa mambo hayaπππ
Hujui kama 50/50 n muhim wewAkutafune tu hata kama sio pisi kali? πππ
Mkurugenzi wa JF, aje ajionee kinachofanyika kwenye hii Platform yakeππNdo nan tena uyo ππ
Mambo ya kutafuna huku unawaza pisi nyingine ndio mtu ukojoe kuna mtu anatakaπππHujui kama 50/50 n muhim wew
πππΎππΎββοΈππΎ KwaheriMkurugenzi wa JF, aje ajionee kinachofanyika kwenye hii Platform yakeππ
Hahahaha ππππππΎ khaah umewaza mbaliMambo ya kutafuna huku unawaza pisi nyingine ndio mtu ukojoe kuna mtu anatakaπππ
SEMA mwanangu unazingua we badala ukaombe mwenyewe Sasa unadhani huyo rafiki yake anafurahia auWanawake punguzeni roho mbaya na kijicho husda, unakuta mkaka kamuelewa rafiki yako anaomba contanct zake unaanza uchawi wako. Mwenzio pisi kali mkaka anataka kujiweka.
Wewe sasa na bichwa lako kama treni la Mwakyembe unaanza βOoh! yule humuwezi!β Umeambiwa ananibeba mgongoni? Wewe mpe namba tutajuana huko huko km tutawezana.
Muda mwingine anafika mbali anaanza kutoa story ya familia ya rafiki yake kama anatoa documentary ya kaya maskini. Hahahaa!
βNikwambie, kwanza yule kwao mama yake kazaa kila mtu na baba yake.β Hata yule rafiki yangu pale alipo hamjui baba yake. Na yeye mwenyewe atamrithi mama yake mana ana mabwana wengi! Umeulizwa?
Sasa si ndio umpe namba nipate baba wa kunilea mxiewww!!
Acheni kubania wenzenu ridhiki VIBUNGO nyie.
πππππwape wape vidonge vyaoooo wakimeza wakitema nishauri zaoπWanawake punguzeni roho mbaya na kijicho husda, unakuta mkaka kamuelewa rafiki yako anaomba contanct zake unaanza uchawi wako. Mwenzio pisi kali mkaka anataka kujiweka.
Wewe sasa na bichwa lako kama treni la Mwakyembe unaanza βOoh! yule humuwezi!β Umeambiwa ananibeba mgongoni? Wewe mpe namba tutajuana huko huko km tutawezana.
Muda mwingine anafika mbali anaanza kutoa story ya familia ya rafiki yake kama anatoa documentary ya kaya maskini. Hahahaa!
βNikwambie, kwanza yule kwao mama yake kazaa kila mtu na baba yake.β Hata yule rafiki yangu pale alipo hamjui baba yake. Na yeye mwenyewe atamrithi mama yake mana ana mabwana wengi! Umeulizwa?
Sasa si ndio umpe namba nipate baba wa kunilea mxiewww!!
Acheni kubania wenzenu ridhiki VIBUNGO nyie.
hapana aseeee siwezkubaniq namba hakukufqnyi ww umpate huyo mwanaume
Kutokutoa namba hakufanyi ww umpate huyo mwanaume, tafuta mbinu nyingine sio ya kubana namba ya watuhapana aseeee siwezi
Wacha tumkose woteππKutokutoa namba hakufanyi ww umpate huyo mwanaume, tafuta mbinu nyingine sio ya kubana namba ya watu
Afya yako ya akili haipo sawa,anaependwa lazima atampata tu labda akatae mwenyewe.Wacha tumkose woteππ
sijali wala nini ππAfya yako ya akili haipo sawa,anaependwa lazima atampata tu labda akatae mwenyewe.
π π π π π sawasijali wala nini ππ