Wanawake acheni roho mbaya kwa wanaume zenu

Wanawake acheni roho mbaya kwa wanaume zenu

Kipochi manyoya kina umuhimu wake jamani.

Kama kaja kujaza choo tu asepe faster maana jamaa hakuoa kwa ajili ya pambo tu.
 
Mrudishe nyumbani akajitathmin....wakat yuko home kwao hakikisha unafanya ufuska kwa sifa na tarifa ziwe zinamfkia kupitia kwa mbea flani hivi atakaejifanya ni informer wake ila kwa kumpandikiza wewe...ukiona hashtuki wala kudai kurudi wasiliana na miss chagga yuko tayari kuolewa na hatokunyima..
 
Dah! hakosi kuwa mlokole huyu jamaa kwa mtazamo wangu lazima kuwepo na nguvu ya imani flani inayompa uvumilivu huu dah! sio bure
 
Sio bwabwa Mkuu! Sema alikuwa akinyimwa anatafuta nje anakula kama kawa maisha yanasonga
Sasa hapo inatakiwa asimfiche mke wake kama ana nke nje, inatakaiwa azae nje kabisa na amuoe kabisa kwa kumpangishia nyumba pemben na anapoishi na huyo mke wake
 
ha!, miaka3??,, mkuu uko seriuz o hadth za facebook hz.... mbona amechelewa kumwacha
 
Uvumilivu wa kiwango cha PHD.... ndio tatizo la kutocheza game za away... sometimes homeground mara zote ndio shida hiyo......
 
Habari wakuu?

Wanawake jaribuni kuwa na roho nzuri kwa wanaume zenu. Hivi unaanzaje kumnyima mume wako haki yake mpaka anaamua kupiga nyeto mkiwa wote mpo kitandani?

Ni kwamba ilikuwa kama mida ya saa tatu asubuhi nikiwa napiga mazoezi kimtindo kuweka mwili safi nikasikia simu inaita kuangalia ni rafiki yangu akiniomba niende kwake mara moja.

Nikajaribu kumdadisi nijue ni ishu gani imetokea ili nijipange vizuri kwa hiyo ishu huenda shemeji kaleta nouma ila akawa mgumu kuniambia. Basi nikaanza safari mara moja kama alivyotaka.

Hatua chache tu nikawa nimetinga ndani ya nyumba nikiwa na shauku kubwa ya kujua ni kitu gani kimemsibu ndugu yangu.

Baada yabdakika chache tukaanza kupiga stori za hapa na pale kimtindo akiweka sawa mazingira ya kuniambia kilichotokea. Baada ya utani na stori akaanza kuniambia ishu iliyotokea kati ya yeye na shemeji.

Tatizo lenyewe ni kwamba takribani miaka mitatu ya ndoa yao mke wake amekuwa akimnyima tendo la ndoa yani hapewi papuchi au nyapu kama vijana wa mjini wanavyoita. Mpaka inafikia muda Jamaa anaamua kukiamsha yani kupiga nyeto wakiwa wamelala pamoja.

Hivyo amevumilia ameshindwa sasa anataka kumpa talaka na huyo mke na aliniita ila nikamshauri kuhusu hilo tatizo.

Je ampe talaka au amvumilie tu ipo siku atabadilika? Maana wakati mwingine ni bora kuwa mvumilivu katika kuchukua hatua katika suala kama hili.
Hajawahi kujihuliza amemuoa kwa ajili gani...??.. amsepeshe tuu....hayuko hapo kwa ajiri ya kula,kulala,kuvaa na kuniremba bhana.....only b'tween her legs....
 
Sio bwabwa Mkuu! Sema alikuwa akinyimwa anatafuta nje anakula kama kawa maisha yanasonga
basi aendelee Tu Kula nje maana hamna namna

iyo papuchi ya mkewe aiache jinsi ilivyo siku akishtuka it's too late mchepuko Una mimba
 
Back
Top Bottom