Wanawake acheni roho mbaya kwa wanaume zenu

joshydama

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,623
Reaction score
5,054
Habari wakuu?

Wanawake jaribuni kuwa na roho nzuri kwa wanaume zenu. Hivi unaanzaje kumnyima mume wako haki yake mpaka anaamua kupiga nyeto mkiwa wote mpo kitandani?

Ni kwamba ilikuwa kama mida ya saa tatu asubuhi nikiwa napiga mazoezi kimtindo kuweka mwili safi nikasikia simu inaita kuangalia ni rafiki yangu akiniomba niende kwake mara moja.

Nikajaribu kumdadisi nijue ni ishu gani imetokea ili nijipange vizuri kwa hiyo ishu huenda shemeji kaleta nouma ila akawa mgumu kuniambia. Basi nikaanza safari mara moja kama alivyotaka.

Hatua chache tu nikawa nimetinga ndani ya nyumba nikiwa na shauku kubwa ya kujua ni kitu gani kimemsibu ndugu yangu.

Baada yabdakika chache tukaanza kupiga stori za hapa na pale kimtindo akiweka sawa mazingira ya kuniambia kilichotokea. Baada ya utani na stori akaanza kuniambia ishu iliyotokea kati ya yeye na shemeji.

Tatizo lenyewe ni kwamba takribani miaka mitatu ya ndoa yao mke wake amekuwa akimnyima tendo la ndoa yani hapewi papuchi au nyapu kama vijana wa mjini wanavyoita. Mpaka inafikia muda Jamaa anaamua kukiamsha yani kupiga nyeto wakiwa wamelala pamoja.

Hivyo amevumilia ameshindwa sasa anataka kumpa talaka na huyo mke na aliniita ila nikamshauri kuhusu hilo tatizo.

Je ampe talaka au amvumilie tu ipo siku atabadilika? Maana wakati mwingine ni bora kuwa mvumilivu katika kuchukua hatua katika suala kama hili.
 
Mke wako akiaanza kukubania, hujue analiwa nje.
Ampe talaka tu asepe, huwa wanajisahau sana wakiolewa.
Talaka tu asepe, avute wanawake wapo weng wengine mpaka wanatamani wawe wake wa 2 au aolewe na widower, kuna wengine mpaka wanatafuta sperm donor, maisha yenyew mafupi halafu unaangaika na mwanamke. Kha apige chini tu
 
Miaka mitatu??? under normal conditions wife akija kunizingua hata kwa wiki tu, itakula kwake...huyo jamaa naye ni mbwira ana wank ili hali duniani kuna wanawake billion nne???...kweli wajinga ndo waliwao.
 
Habari wakuu?

Wanawake jaribuni kuwa na roho nzuri kwa wanaume zenu. Hivi unaanzaje kumnyima mume wako haki yake mpaka anaamua kupiga nyeto mkiwa wote mpo kitandani?

Ni kwamba ilikuwa kama mida ya saa tatu asubuhi nikiwa napiga mazoezi kimtindo kuweka mwili safi nikasikia simu inaita kuangalia ni rafiki yangu akiniomba niende kwake mara moja.

Nikajaribu kumdadisi nijue ni ishu gani imetokea ili nijipange vizuri kwa hiyo ishu huenda shemeji kaleta nouma ila akawa mgumu kuniambia. Basi nikaanza safari mara moja kama alivyotaka.

Hatua chache tu nikawa nimetinga ndani ya nyumba nikiwa na shauku kubwa ya kujua ni kitu gani kimemsibu ndugu yangu.

Baada yabdakika chache tukaanza kupiga stori za hapa na pale kimtindo akiweka sawa mazingira ya kuniambia kilichotokea. Baada ya utani na stori akaanza kuniambia ishu iliyotokea kati ya yeye na shemeji.

Tatizo lenyewe ni kwamba takribani miaka mitatu ya ndoa yao mke wake amekuwa akimnyima tendo la ndoa yani hapewi papuchi au nyapu kama vijana wa mjini wanavyoita. Mpaka inafikia muda Jamaa anaamua kukiamsha yani kupiga nyeto wakiwa wamelala pamoja.

Hivyo amevumilia ameshindwa sasa anataka kumpa talaka na huyo mke na aliniita ila nikamshauri kuhusu hilo tatizo.

Je ampe talaka au amvumilie tu ipo siku atabadilika? Maana wakati mwingine ni bora kuwa mvumilivu katika kuchukua hatua katika suala kama hili.
Miaka mitatu?!! Seriously??!!
Mume atoe taraka haraka sanaaa
Uyo ni dada yake sio mke sasa
 
Jamaa yako bwabwa ndio maana hata mke wake amemwona hvyo ndo kaamua kumnyima.

Hapo jamaa alitakiwa atafute kifaa kingne awe analala hukohuko hata Siku tatu, na alitakiwa amwonyeshe live live kwamba ana mke mwingne. Sasa lenyew linalialia tu
 
Miaka mitatu??? under normal conditions wife akija kunizingua hata kwa wiki tu, itakula kwake...huyo jamaa naye ni mbwira ana wank ili hali duniani kuna wanawake billion nne???...kweli wajinga ndo waliwao.
Nouma sana Mkuu! Hata Mimi nilishtuka sana miaka mitatu sio mchezo.

Halafu usione watu njiani wameongozana ukajua wanapendana.

Wakifika home ni shida.
 
Jamaa yako bwabwa ndio maana hata mke wake amemwona hvyo ndo kaamua kumnyima.

Hapo jamaa alitakiwa atafute kifaa kingne awe analala hukohuko hata Siku tatu, na alitakiwa amwonyeshe live live kwamba ana mke mwingne. Sasa lenyew linalialia tu
Sio bwabwa Mkuu! Sema alikuwa akinyimwa anatafuta nje anakula kama kawa maisha yanasonga
 
Huyo jamaa Yako Naye anakuwa kama pungazeze vile, ina maana hapo hajui cha kufanya. Kwanza aseme ni kwa nini mkewe anamnyima. Lakini in anyway mke hapaswi kumnyima. Na kwa nini hana hata kamchepuko, ndio maana huwa nasema,mwanaume kuwa na mwanamke mmoja akili Yako inakuwa kama inadumaa hivi.
 
Aendelee kimvumilia tuu maana kama aliweza miaka 3 basi aendelee kuvumilia, atabadilika akichoka dushe ya nje
 
Back
Top Bottom