Wanawake acheni njaa, badilikeni!

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,332
Reaction score
3,230
Kuna dada mmoja tunaishi nae mtaa mmoja kiasi kwamba kutoka anapokaa yeye na mimi ni mwendo wa kama dk 5 hivi. Cha ajabu nimemwalika kwangu akaniambia tuma nauli, nikamuuliza unajua unawasiliana na nani akasema ndio.

Nikamuuliza nauli ya nini sasa akashindwa cha kujibu akajionea aibu mwenyewe. Nikamwambia mimi mwanamke ambae hana nauli huwa simtaki nikamblock.

Huwa nakerekaga sana na hako kaneno, wanawake badilikeni
 
Mkuu umechomoa betri mapema sana hata ya kutolea ulikuwa bado haujaambiwa
 
Tuma nauli ni namna ya kukuambia hana mpango na wewe.
Jiongeze.
 
Wenyewe wanasema nauli wanawaomba maboya ila kama mtu wamempenda they use their own money.. Huenda huyo alikua ajakuelewa au anapima u serious wako
 
hebu unblock hiyo namba yake alafu mtumie jero.
 
Baharia unakosaje utamu kizembe hivyo! Au ulikuwa humpendi? Yawezekana ni kautaratibu alikojiwekea au alichanganya mafaili. Au kweli alitaka apande Pikipiki.

Hapo mbona karibu sana! Siyo gharama kubwa!

Ila katisha mbaaya!
 
Baharia unakosaje utamu kizembe hivyo! Au ulikuwa humpendi? Yawezekana ni kautaratibu alikojiwekea au alichanganya mafaili. Au kweli alitaka apande Pikipiki.

Hapo mbona karibu sana! Siyo gharama kubwa!

Ila katisha mbaaya!
Sio demu mkali sana wakumshobokea kwanza ni single mother
 
Safi sana na tayari nimeshawasiliana na wajumbe 10 hadi sasa, bila shaka tutakurasimisha uwe Mwenyekiti ktk kikao kijacho kwa uanaume ulioonesha ili uwe mfano wa kuigwa na wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…