Wanawake acheni matumizi ya hizi Emoj.

Wanawake acheni matumizi ya hizi Emoj.

Hii emoj siipendi [emoji108]
Mkuu unajua hiyo emoji ina maana gani?
Hata mimi sio mtumiaji wa hiyo emoji kwa sababu watu wanaichukulia tofauti, wengi wakisema ni ile alama ya vidole kwenye taarab lakini siyo kweli.

Well labda kwa faida ya wengine, hiyo sign inamaanisha OK.

IMG_20170926_122500_361.JPG
 
Unakuta demu ni rafiki yako/ best mnachat halafu anakutumia hizi emoji [emoji7] [emoji8] [emoji182] [emoji11] [emoji10] [emoji9] baada ya kumfanikishia jambo fulani... mbaya zaidi upo singo, ukipiga saundi anakwambia nakuchukulia kama kaka yangu
Mkuu funguka tu
 
Watu mnajua namna ya kujipa pressure kwenye maisha yenu bila sababu za maana! Mtu kutumia emoji nacho ni kitu cha kumfanya mtu anune!? Duh!
 
Wanakake kukimbia hivi [emoji125] [emoji125] haitakiwa wanavamia jinsia inatakiwa wakimbie hivi[emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Naungana na wachangiaji wengine kumuonya wife wangu ambaye yupo humuhumu jf kwamba wife wangu kipenzi siku utakayonitumia emoji hivo nalala mbele
 
Oyaa jomba mbona una uandishi mbovu kiasi hiki.........
We ni mtanzania kweli?????
"Akili mpaya"...hizi ndiyo akili za nchi gani...
"Haikubariki"...ndiyo nini hii
 
Back
Top Bottom