Wanawake acheni matumizi ya hizi Emoj.

Wanawake acheni matumizi ya hizi Emoj.

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Leo tuwaseme tu usiku huu ili muamke na akili nyingine mpaya, haka kaEmoj[emoji57]ni kamaarufu sana kwenye conversation,ila nyie mabinti tuwaambie tu it either mnaktumiaga kwa joke or serious ila kiuhalisia hajakaaa poa ..

Ni kati ya emoj nnayotamani itoweke kabisaa kwnye ulimwengu wa Chart [emoji57].

Kwa binafsi yako emoj ipi hauikubariki ?
 
Kwangu emoji hii inanichefua sana[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji57] hivi huwa inamaanisha nin nadhan mm ndio naongoza kwa kutumiwa hii emoji
 
Unakuta demu ni rafiki yako/ best mnachat halafu anakutumia hizi emoji [emoji7] [emoji8] [emoji182] [emoji11] [emoji10] [emoji9] baada ya kumfanikishia jambo fulani... mbaya zaidi upo singo, ukipiga saundi anakwambia nakuchukulia kama kaka yangu
 
Hahaaaaa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Unakuta demu ni rafiki yako/ best mnachat halafu anakutumia hizi emoji [emoji7] [emoji8] [emoji182] [emoji11] [emoji10] [emoji9] baada ya kumfanikishia jambo fulani... mbaya zaidi upo singo, ukipiga saundi anakwambia nakuchukulia kama kaka yangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] inaboa kwli
 
Back
Top Bottom