Wanawake acheni matumizi ya hizi Emoj.

Wanawake acheni matumizi ya hizi Emoj.

Unakuta demu ni rafiki yako/ best mnachat halafu anakutumia hizi emoji [emoji7] [emoji8] [emoji182] [emoji11] [emoji10] [emoji9] baada ya kumfanikishia jambo fulani... mbaya zaidi upo singo, ukipiga saundi anakwambia nakuchukulia kama kaka yangu
Mkuu ukipiga sound unaharibu stage hiyo inakuwa ilishapita, ni kukomaa tu akupe upekue kipochi manyoya.
 
Watu mnajua namna ya kujipa pressure kwenye maisha yenu bila sababu za maana! Mtu kutumia emoji nacho ni kitu cha kumfanya mtu anune!? Duh!
Hata Mimi nimeshindwa kushangaa haaa Joseveret zinanmyima amani[emoji6] [emoji6]
 
Ukitumiwa emoji hii [emoji57], na wewe mtumie [emoji53], akijishtukia akakutumie eti [emoji7], sasa wewe mrudishie yake ya [emoji57], Ukiona Typing... Kama dk 3 hivi afu akakutumia ama [emoji19] au [emoji17], jua kamaanisha kweli, sasa wewe jilipue anza kumcheka [emoji38][emoji38][emoji38].

Kesho yake harudii tena, na ataanza mapenzi moto moto.

NB: Hii tunaiweza wanaume wa mkoani tu!, wanaume wa Dar hawaiwezi hii.
 
Mimi na tumia emoj ya Dole tu...yaani we tumia zako zoote, mi ntakujibu kwa dole.spendagi ujinga mimi
 
Back
Top Bottom