Wanawake acheni kuvaa mawigi

Bonge la ushauri kwa wahusika
 
Mi nimejifunza kwa mamaangu.

Na kikubwa nilichojifunza hata nikapendelea kuwa natural ni kutochakaa kwa uso.

Mapodozi yakizidi yanazeesha kwa kweli.

Ha ha haaaaa.

Binaadam awe hana nyusi lazima atishe.

Ni kujiamini tu. Unajiweka kwenye status ya u natural mpk watu wanakuzoea.

Na wanawake wenzangu sijui hawaelewi kuwa wanaume wengi wanapenda wanawake wawe natural. Huu ndo ukweli
Vizuri sana. Nimefurahi kusoma mawazo ya mwanamke anaejitambua
 
Yaan wanaume anaweza aseme hapendi wigi lakin anatamani alievaa wigi,hapendi nguo fupi lakini akiona alievaa nguo fupi macho yanamtoka hayo,kiufupi binadam haturidhiki in nature,mtuwacheee wanawake
 
Yaan wanaume anaweza aseme hapendi wigi lakin anatamani alievaa wigi,hapendi nguo fupi lakini akiona alievaa nguo fupi macho yanamtoka hayo,kiufupi binadam haturidhiki in nature,mtuwacheee wanawake
Iko hivi, mwili wote wa mwanamke kuanzia miguu hadi kichwani unaweza kumtamanisha mwanaume

Mwanaume anaweza akatamani mapaja yako bila kutamani nywele zako. Hapo wigi linawekwa 'constant'

Rungu huwa linasumbua sana likihitaji kusuuzwa, kwahiyo vitu vingi tunaweka 'constant'

Pia wanaume tuna uwezo wa kuenjoy mapenzi na wanawake hata tusipowapenda
 
Ndio hivyo msisingizie nywele muangalie tu hayo mapaja na mengineyo wanaopenda kubandika nywele waacheni wabandike
 
Ndio hivyo msisingizie nywele muangalie tu hayo mapaja na mengineyo wanaopenda kubandika nywele waacheni wabandike
Macho hayana pazia ukizingatia wanawake mnatuachia tuone maziwa, mapaja, viuno, sidiria, vyupi n.k

Kwa wabandika nywele, tambueni kwamba mngeongeza zaidi hisia zetu kwenu iwapo mngekuwa kinatural zaidi
 
Wanaume waongo anakwambia sipendi wig unafwata kila kitu. ..akitoka nje unamkuta na mwanamke alievaa wigi, kimin, makeup, kope.,aliejichubua,mikucha mirefu yenye mirangi!
Yaaan hawa wanaume hawa ni very weird
 
Papuchy si unayo, utafuatwa tu, ili mradi 'babu' apate kuogelea ndani ya 'bath tub'

Ni sawa na mwanamke anaesema hapendi mwanaume mwenye kitambi, mfupi, mwembamba, n.k ila ndio unakuta yupo nao

Hisia huwa zinapanda na kushuka, kwahiyo ni vizuri kuacha kuendekeza vitu vinavyoshusha hisia za mtu wako
 
Eti mawigi ndo manini vile, mie niko mbali na mjini siyajui ati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…