just kiding too[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulikuwa utani mamii [emoji3] [emoji3] [emoji3] take it not seriously
Aseme lingine... Hili amebugiShangaa.....
Madai yao wao ndio wao ndio hali wenye maisha magumu zaidi kuliko wanaume......why are there more female than male prostitutes?
Kwani wewe utamu haupati???Ila Binadamu ni watu wabaya sana, Sasa dunia ya leo kuna kitu ambacho ni kitamu au chakuburudisha ukakipata bure?? 🙂
Litakuwa jambo jema..atoto ukiondoa mawazo ya utegemezi..hakika utakuwa na maendeleo na uhuru zaidi...utegemezi ni utumwa.Basi wewe uza ufaidike.
Nimechagua kuwa mtumwa, case closed.Litakuwa jambo jema..atoto ukiondoa mawazo ya utegemezi..hakika utakuwa na maendeleo na uhuru zaidi...utegemezi ni utumwa.
Yah..wanaume pia waache kununua..wauzaji wagome kuuza..wafanye shughuri nyingineHawa wanawake wanaolalamikiwa kila siku wanauza, hivi wanunuzi ni akina nani?
Nyie wanaume mtambue biashara ikikosa soko inakufa, na kinyume chake soko likiwa kubwa biashara inakua hvyo.
Eb achen utoto bana, achen kununua biashara ife,si basi.
HahahahNimechagua kuwa mtumwa, case closed.
Msisubiri..mpk huko..msitoe kabisa..au toeni for free.Mkiacha kununua na sie hatutauza
Wanaume acheni kununua papuchi, mapenzi sio biasharaWanawake acheni kuuza papuchi,mapenzi sio biashara.
Hakunaga kitu cha free duniani hapaMsisubiri..mpk huko..msitoe kabisa..au toeni for free.
Hahaha...naona ngoma dro..tukija kwa kuomba,mnatupa price tagsWanaume acheni kununua papuchi, mapenzi sio biashara
Mbona hamlipii dushe??Hakunaga kitu cha free duniani hapa
Wanunuzi wagome kuuza wafanye shughuli zingine.Yah..wanaume pia waache kununua..wauzaji wagome kuuza..wafanye shughuri nyingine
Kwani wewe ukitaka suruali unafata dukani au unaiita inakuja?Mbona hamlipii dushe??