Brightfame
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,371
- 1,460
Acha kununua uone kama watauza!!
unaiudumia nini?nitoe bure unajua gharama za kuhudumia?
Acha kununua uone kama watauza!!
Gegedeo halikuburudishi???Ila Binadamu ni watu wabaya sana, Sasa dunia ya leo kuna kitu ambacho ni kitamu au chakuburudisha ukakipata bure?? 🙂
Dushe au gegedeo je???Hakunaga kitu cha free duniani hapa
Watu ka hao unashtukia sio tu unawarukia usiposhtuka watakuchuna adi uzeeke .Wanawake acheni kuuza papuchi,mapenzi sio biashara.
Papuchi kiungo cha mapenzi..sio cha kufanyia biasharaKwan wao wanakuuzia mapenzi!!? Wao wanakuuzia papuchi tuu, mapenz kapate hata kwa bimkubwa, dada zako au mkeo huko ndio utapata mapenz ya ukweli
Tofautisha mapenz na ngono joh
Wewe ndio unaona hvyo.. Ila kwa wengine ni kiungo cha biashara tu, tena biashara safi isiyo na maloloso mengi mengi.. 97% tunanunua papuchi aidha direct ama indirect..Papuchi kiungo cha mapenzi..sio cha kufanyia biashara