Wanawake acheni kuturoga jamani...

Wanawake acheni kuturoga jamani...

Mungu anawaona mjuee ninyi nyote mwenye tabiaa hizooooo !!
 
Duhhhhhh kazi kweli kweli.

Kumbe ndoa ni AJIRA watu wanakwenda mpaka kwa waganga!?

Kila Mara natoa NASAHA, UMASKINI mbaya. Mwanamke mwanamke kweli, mwenye juhudi katika maisha ya utafutaji hana Muda huo. Labda aende kwa mganga kunyoosha "nyota" ya utafutaji.
Afadhari nipe no ya mganga kwa ajili ya kunyoosha nyota tu
 
Hii ya kulogana inachipua kwa kasi sana siku hizi, kuna dada jirani yangu amemloga mume wa mtu, kila ifikapo saa 10 alfajiri anaamka na kwenda kutimiza mashariti ndani ya siku 3 utamuona mshikaji anahamia kabisa kwa bidada
 
Unakuta mwanamke mrembo! lakini mchawi balaaaa....yaani inatisha.
 
Haya mambo bana, unakuta waifu anakuloga, mchepuko A na B wanakuloga, dukani kwa Mangi anakuloga, kazini unalogwa, kwenye daladala kaweka mizizi napo kulinda biashara yake napo unalogwa, daaah kwa mwendo hatuwezi Tanzania ya viwanda tutaisikia tu
 
Back
Top Bottom