Wanawake acheni kutumia dawa za kuongeza makalio

Matackle yanakua na na shape mbaya na yanakosa ushirikiano...

Binti Wa miaka 24 tackle linakuwa ka LA m bibi Wa miaka 75.

Acheni ujinga huu haraka.


Mbona na wanaume nao wanatumia dawa za kuongeza nguvu, sasa hizo nguvu zitatumika wapi kama na wao wanawake hawakuongeza mambo yao??!!🤣

Tatizo linaanzia kwa wanaume,🤣🤣
 
Vijana tunahangamia kwa kukosa maarifa... eeh mwenyezi Mungu tusamehe kwani maovu tunayotenda ni mengi kuliko yale mema yanayokupendeza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…