STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,262 Feb 14, 2017 Thread starter #81 Qurie said: Akuuuh miii sio Mfano eee Click to expand... Usiogope, hapa hamna wanyonya damu
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,433 Reaction score 38,402 Feb 14, 2017 #82 Shunie said: stunter naona yamekukuta wasiowapenda ndio wanaenda kuwasemea [emoji23] wanaowapenda na kukwichi kwichi nao wanakula kimya kimya Click to expand... Kuna sehemu kasema mapenzi ya halmashauri....! Huyu jamaa noma sana aisee!
Shunie said: stunter naona yamekukuta wasiowapenda ndio wanaenda kuwasemea [emoji23] wanaowapenda na kukwichi kwichi nao wanakula kimya kimya Click to expand... Kuna sehemu kasema mapenzi ya halmashauri....! Huyu jamaa noma sana aisee!