Wanawake acheni dharau

Na kwa uzi guy yupo wa JF nae atakutafuta ujikute juu ya mlima siyo njia panda tena
 
Hapo kijana hapana@ kwa mtiririko wa mawazo yako katika uandishi wewe siyo mwanafamilia ya kibaha boys, labda ulipita huko kwa bahati mbaya tu.
 
Hapo mbona rahisi mzee...wee unatakiwa umgegede huyo mrembo alafu una mbwaga🤣🤣🤣🤣
 
Ila hapa jamiiforum kuna waongo sana jamani khaaaaa, Hiv kwanini mnakua hivyo ni faida gani mnaipata wazeee kama kuna faida tuambizane ila na mm niingie rasmi kwenye hii sector ya uongo na ulaghai.

Lioneni hili jitu jamani lilianzisha uzi waku complain kuhusu DSTV kushusha bei za vifurishi ili litazame Basketball leo linatumbia lipo America eti lilipata skolashipu ya kwenda kusoma uko shame on you, achana na visa vya kutunga havita kufikisha popote, Nachukia sana watu waongo ambao hauna sababu ya msingi.
20210519_051437.jpg


Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
Sasa bwashee dharau zao kwetu ndiyo mafundisho na kutuboresha, haitabadilika mkuu, vumilia tu, ndiyo "human nature" kaka..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom